Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma
Serikali imesema imeandaa Sheria na kanuni ili kumlinda mlaji, na kuhakikisha kuwa bei za bidhaa na huduma zinapangwa kwa msingi wa nguvu ya soko.
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akijibu swali...