Ukisoma kitabu cha Daniel. Kuna kipindi Daniel wakati yupo huko Uajemi aliamua kufunga kwa wiki tatu. Hakuoga, hakunywa pombe(divai), hakula nyama wala msosi wowote mzuri. Sasa kumbe malaika aliyekuwa ametumwa kuleta majibu wakati analeta akakutana na mkuu wa ufalme wa Uajemi, wakaanza kupigana...