shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. Raia Fulani

    Bora niinjoi: Shetani yupo kazini

    Huu wimbo mzuri sana kusikiliza. Tatizo ukija kwenye ujumbe ndio tatizo. Unapinga mahusiano. Tujiunge na Jux na Diamond kwenye upweke na ukapela tukanywe na tucheze juu ya meza. Nawashauri wasanii wetu hawa wazuri kwamba watengeneze version nyingine ya huu wimbo kwa ajili ya kupalilia mapenzi...
  2. S

    Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

    Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
  3. S

    Pengine Unamsikia tu Shetani Juujuu. Humfahamu vizuri na unasema ni adui yako

    Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
  4. Li ngunda ngali

    Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

    Nukuu: Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact. Mwambukusi.
  5. Li ngunda ngali

    Congo DR ni sehemu ambayo hata shetani hujiuliza mara mbili kwenda

    Ama kweli tembea uone! Congo DR, ni sehemu ambayo maeneo mengi ili ufanikiwe kutoboa, ni lazima uwe umehitimu ubabe kwa zaidi ya alama 1000%. DR, ndilo eneo ambalo maovu, umafia na hata unyama hutendwa hadharani! Mfano, mgeni usafiripo kwa kupitia mpaka wa Kasumbalesa kwa roli kwenda...
  6. BARD AI

    Mbeya: Mwanafunzi kidato cha 3 adaiwa kujinyonga, kisa kuikataa Shule

    Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
  7. P

    Fanya hata mambo haya manne na shetani na vibaraka wake watakukimbia

    1: Usimpe nafasi kwa kumtajataja na kumzungumzia. Tumia muda mwingi kumzungumia Mungu na uweza wake. Mtoe kabisa akilini na kwenye fikra zako mjaze Mungu badala yake. Waefeso 4:27 wala msimpe Ibilisi nafasi. 2: Mpinge. Usiunge mkono juhudi zake. Ukiona anakufatafata na kukusumbuasumbua ni...
  8. Da Vinci XV

    Shetani kama Mungu?

    Na DaVinci XV Isaya : 14 : 12 -15 12- Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa! 13 - Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi...
  9. tpaul

    Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

    Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe: MAONI YANGU Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini...
  10. Father of All

    Hivi bila kuwapo shetani Dini na Mungu zingekuwapo?

    Dini zote nyemelezi zinatuaminisha kuwa Mungu aliumba kila kitu zikiwemo dhambi, shetani, kifo na mabaya yote. Je kwanini Mungu aliumba shetani kama lao siyo moja? Je bila shetani, dini na Mungu vingekuwa na mashiko au pa kujificha? Je shetani ni nani? Je ni mbaya kama tunavyoaminishwa? Yeye...
  11. M

    SoC03 Wanaimba kwa sauti ya BWANA BWANA ila midundo ni ya shetani

    Mbinu za Kuwavuta Watu kwa Shetani kwa Kutumia Nyimbo za Kidini Zenye Midundo ya Shetani Utangulizi: Katika ulimwengu wetu wa kisasa, kumekuwa na kuibuka kwa kundi la watu wanaotumia mbinu mbalimbali za kuvuta wengine kwa shetani, huku wakitumia nyimbo za kidini zenye midundo ya shetani. Ingawa...
  12. TheForgotten Genious

    Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

    Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani? Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na...
  13. Chizi Maarifa

    Wanasiasa wa Afrika ni wauaji na wabinafsi

    Unajiuliza waliwezaje kupokea pesa za Covid-19 na kudai wanazipeleka kwenye kujenga madarasa mengine wanaweka na tiles na ac? Wanaacha watoto wadogo wanakufa kwa kukosa matibabu na bima inasitishwa kwa madai kuwa michango haitoshi. Lakini hawa wanasiasa wananunuliana magari ya kifahari sana kwa...
  14. M

    Kipi chanzo cha Ugomvi wa Shetani na Mwanadamu

    Napenda kukalibisha uchangiaji wa maada,ili watu wapate kujua,kutokana na ukubwa wa elimu za Dini tofauti Sipendi michango ya matusi au kukashifu Dini ya mwingine,kwani naamini hakuna Dini au dhehebu linalofundisha waumini wake matusi
  15. Rwetembula Hassan Jumah

    Serikali inabebwa na shetani ndio maana mali tulizozikuta Duniani hati miliki ni ya Serikali

    Serikali mko na la kujibu kwa Mwenyezi Mungu. Ardhi tumeikuta ila mnaimiliki wakati kuna Watanzania hawana hata heka moja, nyie mnamiliki kama mliiumba wenyewe. Halafu tabia za kupangiana matumizi sio haki kabisa kwa upande wa huduma za mitandao ya simu.
  16. sajo

    Unajua kuwa watu wengi wanaishi maisha yasiyo yao kwa kunyang'anywa nyota na vibali vyao?

    Watu wanaishi maisha yasiyo yao, yaani ya chini na wasiyostahili na baada ya muda wanayazoea na kuona ndio maisha yao halisi ilhali sio kweli. Unakuta mtu huyo alikuwa na mafanikio kielimu, kikazi, kiuchumi lakini ghafla tu akaanza kushuka na kuporomoka kabisa katika kila nyanja na wengine...
  17. Lycaon pictus

    Jonathan Majors alikuwa anaenda vizuri lakini sijui shetani gani kampitia?

    Huyu jamaa Jonathan Majors ni actor anayeijua kazi yake vyema sana. Talent yake ni ya hali ya juu. na amepata deal kubwakubwa ndani ya muda mfupi sana. Sasa mwezi jana alikamatwa kwa ukatili wa kijinsia. Akatupwa na ndani kwa tuhuma za kumpiga mpenzi wake. Baada ya kesi hiyo wmetokea wanawake...
  18. Mohammed wa 5

    Hivi ni kweli Picha ya Yesu ni mzungu halafu picha ya Shetani ni mtu mweusi?

    Yesu ni mfano wa wema na upendo na Mambo mazuri Hilo liko upande wa watu weupe (wazungu) Shetani ni mfano wa dhambi, roho mbaya na mabaya yote yapo upande wa mtu mweusi (Africa) White people (wazungu) wanatuchklia katika upande wa shetani mtu mweusi (Africa) ni kiumbe chenye roho mbaya...
  19. Binadamu Mtakatifu

    Shetani Baba Yangu ( Devil My Father )

    Sehemu ya 1 Ninaitwa Kapeli ni mtoto wa sita kati ya watoto saba familia yetu ni ya kimasikini kama waadhirika wengine wa vita nchini kongo siku nyingine tungepitisha siku tatu bila kugusa chochote, ni maji tu ndio tungekuwa tunauhakika nayo Ni mdogo ninamiaka 15 sasa nawaza kuhusu hali...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

    HAIWEZEKANI MUNGU ASIMUUE SHETANI ALAFU AAMURU WATU WAUE WANAOFANYA MAMBO YA KISHETANI; HAIINGII AKILINI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani Kwenye nyumba za ibada tangu tukiwa Watoto tulifundishwa kuna Wahusika Wawili mahasimu, wakwanza anaitwa MUNGU na wapili anaitwa SHETANI. Mhusika Mungu...
Back
Top Bottom