shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. Epuka mtego wa shetani, kuwa makini sana

    Punda mmoja alikuwa amefungwa kwenye mti. Shetani (Pepo) akaja akaifungua ile kamba. Punda baada ya kujiona yuko huru, akaingia kwenye shamba na kuanza kula kila kitu. Mke wa mwenye Shamba (Mke wa mkulima) akahofia Punda anataharibu kila kitu, hivyo akachukua bunduki, akamuua yule Punda...
  2. Beach wear kabla shetani hajakabidhiwa cherehani

  3. TCRA mchukulieni hatua huyu Nabii Tito, channel yake ya YouTube inamdhihaki Yesu

    TCRA na vyombo husika mchukulieni hatua huyu nabii Tito channel yake youtube kaandika YESU ni shetani Hii ni hatari kwa jamii oneni wenyewe
  4. Kwanini shetani anatumia nguvu nyingi sana ku-promote ushoga (mapenzi ya jinsia moja) kuliko dhambi nyingine?

    Yani kuna dhambi za uzinzi, uongo, wizi, na vyote vinampeleka mtu motoni ila cjaelewa kwanini ibilisi anapenda sana kupigia promo ushoga kupitia filamu za hollywood, mitandao, nyimbo za wasanii, taasisi kubwa za kifedha duniani, na mataifa makubwa, hadi kufikia baadhi ya mataifa kuhalalisha...
  5. Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

    Zisome hapa.. Kama unajua kiingereza lakini. Uchaguzi ni wako ufuate zile 10 za Mungu au hizi 11 za shetani.
  6. Umuhimu wa mawakili wa shetani kwenye makongamano ya siku ya Nyerere.

    Zamani kanisa katoliki kama linataka kumfanya mtu kuwa mtakatifu lilikuwa linaajiri mtu fulani wa kuitwa Advocate Dei(wakili wa shetani). Kazi yake ilikuwa ni kuchambua mabaya ya mtu huyo na kujenga hoja kuwa hafai kuwa mtakatifu. Kwahiyo, huyu mtu anayepewa utakatifu alikuwa ni bora sana...
  7. SoC01 Usipomkimbilia na kumtumikia Mungu, shetani atakukimbilia na kukutumikisha

    Habari ewe mwanadamu. Ninamshukuru Mungu kwaajili yako, pole pia kama upo katika magumu yoyote kwa fikra na macho ya kibinaadamu. Moja kwa moja niende kwenye kusudi la kuanzisha nyuzi hii ambayo naamini endapo utaisoma vyema na kuitendea kazi kazi basi utayaona Mabadiliko kwenye maisha yako...
  8. B

    Watu walioratibu na kutekeleza kumpiga Risasi Tundu Lissu, ni Waovu kuliko hata Shetani Mwenyewe

    Watu walioratibu na kutekeleza mashambulizi kama haya ili kuuwa wengine, wangalipo wakiwa huru na bila shaka wakilipwa kwa kodi zetu: Wanamtumikia au walikuwa wakimtumikia nani manyang'au hawa? Kwamba maisha yanaendelea na mabazazi hao wangalipo mitaani wao pamoja na wawezeshaji wao? Kwa...
  9. Binadamu anapojiweka shetani anayegeuka kuwa Mungu kuutawala ulimwengu

    Umofia Kwenu! Nilipokuwa nikipitia baadhi ya stori za wadau mbalimbali nami nikahamasika kuweza kuandika walaka huu kwa kufuata mawazo na fikra zangu binafsi kuweza kuweka mbegu mpya au mtazamo mpya juu ya ulimwengu wetu huu tulionao. Lakini zaidi ya yote nimevutaka kuandika waraka huu kutokana...
  10. #COVID19 Viongozi wa dini, wametuuza waumini wao kwa Shetani kwa kuwa hatujaona msimamo wowote wa kiroho madhubuti wa pamoja kuhusu suala la Uviko 19.

    Hakuna shaka yeyote kwamba swala la Uviko 19 au ni la kughushi au lipo lakini si la kiwango kinacho zungumziwa au chanzo si hicho kinachosemwa,ila kinachoitwa Uviko 19, ni kisingizio tu. Ona ukweli huu hapa👇...
  11. Je, Utaratibu huu wa 'Waswahili' una 'Baraka' za Mungu au labda kwa sasa Shetani 'anaupiga mwingi' Mioyoni mwetu?

    Katika ngazi za Familia nyingi za Kiswahili utakuta Mtoto mwenye Mafanikio ya Kipesa kuliko Wenzake hata kama ni wa mwisho Kuzaliwa ndiyo anasikilizwa na Wazazi hata kama wale Wasiokuwa na Pesa ni Werevu na Wamesoma kuliko Yeye. Katika Kamati mbalimbali za Jumuiya za Makanisa ( hasa langu la...
  12. Iran wachagua Ibrahim Raisi ambaye ameshaua watu elfu 30

    Masikitiko Wairan kuchagua Raisi ambeye ni jaji wa mahakama ambaye ashatoa hukumu za hovyo za kunyonga watu zaidi ya elfu 30 alilalamikiwa sana na raia hadi jumuiya za kimataifa ila alikingiwa mikono na Ayatollah. Marekani washamuwekea vikwazo kama vyote, sasa tutegemee uovu kama wote kutoka...
  13. Harmo Rapa amemkataa shetani na mambo yake yote, ageukia Kaswida

    Pitia hapa uone kaswida nzuri kutoka kwa Harmorapa
  14. D

    Nimegundua rasmi kumbe shetani ni binadamu wala si pepo kama wengi tulivyokaririshwa

    Nimekuwa nikitafta namna ya kumhoji shetani! Lakini rasimi kafunguka! Kasema kwamba baadhi ya mambo mengi binadamu tunamsingizia shetani! Mfano: Anayekufunga kwa hira ni Binadamu mwenzako tena kutwa yupo kanisani Anayewanyima haki binadam wenzake ni binadamu huyuhuyu aliyeapa kwa katiba...
  15. Barua ya Shetani kwa Mtawa wa Kikristo 1676: Mungu ni mvumbuzi wa Binadamu

    Wasaalam, Kuna hadithi ambayo inaturudisha karne ya 17, kuhusu mtawa wa Kiitaliano ambaye alidai kuwa ameandika barua kadhaa wakati akiwa anaendeshwa na shetani Mtawa huyo anayejulika kwa jina Maria Crocifissa Della Concezione, aliamini kwamba shetani mwenyewe aliandika barua wakati...
  16. Mtawala azibaye midomo ya watu ni mbaya kama shetani

    MTAWALA AZIBAYE MIDOMO WATU NI MBAYA KAMA SHETANI Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mtu yeyote anayependa kuziba watu midomo wasimseme jua huyo ni kama shetani, hivyo ndivyo andiko hili ninavyoanza nalo. Shetani ndio anapenda mambo ya sirini, kuficha ficha, kuziba watu midomo wasiseme mabaya yake...
  17. Malaika Wa Shetani

    Simulizi : MALAIKA WA SHETANI Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Sehemu ya 1 LANGO uligongwa tena. Safari hii mgongaji aligonga kwa nguvu zaidi. Kwa mbali, sauti yake ilisikika ikinong’ona, ikiwa na kila dalili ya hofu na wasiwasi, ikisema, “Tafadhali nifungulie… dakika...
  18. Nike yashinda kesi yake ya ‘Viatu vya shetani

    Kampuni maarufu kwa viatu vya michezo ya Nike imeshinda keshi dhidi ya kampuni ya MSCHF juu ya ‘Viatu vya shetani’ vilivyosababisha utata ambavyo zinasemekana kuwa na tone la damu ya binadamu kwenye soli yake. Viatu hivyo vinavyouzwa kwa dola 1,018 sawa na (pauni 740), ambavyo vimechorwa...
  19. D

    Wakristu tumebipiwa na shetani naomba tumpigie kwa sherehe kubwa tufufuke na kristo

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema! Kipindi cha kwaresma huwa ni kipindi cha kuyatafakari matendo makuu ya Mungu! Wapo wanadamu wanaothubutu kujitwalia utukufu wa Mungu! Lakini kamwe Mungu atabaki kuwa Mungu na wala hachunguziki! Skukuu ya pasaka ni siku ya furaha kubwa ya ufufuo wa Yesu...
  20. Kampuni ya Nike yafungua kesi kwa madai ya kuibiwa chapa ya Viatu vya shetani

    Kampuni ya Nike inashitaki ubunifu wa kampuni ya MSCHF iliyopo Brooklyn juu ya uzinduzi wa kile kinachosemekana kuwa “Kiatu cha shetani” chenye tone la damu ya kweli ya binadamu kwenye soli za viatu. Viatu hivyo vinavyouzwa kwa dola 1,018 sawa na (Tsh 2358910.76), ambavyo vimechorwa alama ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…