shikilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Heche shikilia hapo hapo hadi mwenye spika ajitokeze

    Ukiona adui yako anakusifia jiangalie mara mbili mbili, lkn ukiona vilio vimezidi jua umewashika panapostahili. Hawa unaowasikia ni vispika tu endelea kukaza kamba hadi mwenye spika atokeze pua. Kaza kamba ili watu waendelee kula pesa za wajinga. Atakayejitokeza fyekelea mbali, Tanga fyekelea...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Larry Madowo, shikilia hapo hapo, usilegeze. Sattelite zitege 360o zimulike movement zozote from now!

    To avoid concealling information, elekeza specifically satellite zimulike, nchi iwe Kiganjani mwa satellite. Hatuna ubaya na nchi yetu, tunataka kujua ukweli wa nini kilitokea AFTER. BEFORE tunajua maana tuliona kwa macho yetu wenyewe. Ni hilo tu
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Lissu Shikilia hapo hapo! Toka 1995 Tanzania tunafanyiwa maigizo ya siasa

    Toka TLP, CUF, ACT, UDP NA CHADEMA ya Mbowe ni maigizo Miaka 30 Watanzania tunafanyiwa maigizo ya siasa uku watu wakizidi kutajirika tu!! Angalia ukwasi wa Mbowe, Cheyo, lipumba yaani ni ujasiliamali!! Sasa Tundu Lissu kawaumbua ndani ya miezi 2 tu Miaka 30 ya maigizo na kuuza utu Uzuri...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje imani fulani zika shikilia sana kuhusu pombe ni haramu sio vilevi vingine pamoja na ngono

    Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu. Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar. Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi kubwa ni upande huu.Ndio maana ikifika karibia na mfungo watu ufunga ndoa kwa madhumuni ya kujipatia...
  5. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamshikilia Franco Ruhinda, hajatekwa

    Kuna taarifa zinazotengenezwa na kusambazwa katika makundi sogozi yenye nia ya kudanganya ili kuleta taharuki kwa umma kumhusu Franco Kashaija Ruhinda kuwa haijulikani alipo toka alipowasili nchini akitokea Dubai. Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa Franco Kashaija Ruhinda alikamatwa...
Back
Top Bottom