Heche shikilia hapo hapo hadi mwenye spika ajitokeze

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Ukiona adui yako anakusifia jiangalie mara mbili mbili, lkn ukiona vilio vimezidi jua umewashika panapostahili.

Hawa unaowasikia ni vispika tu endelea kukaza kamba hadi mwenye spika atokeze pua. Kaza kamba ili watu waendelee kula pesa za wajinga.

Atakayejitokeza fyekelea mbali, Tanga fyekelea mbali Morogoro fyekelea mbali, nasikia wapo wengi,

Ile barua iliyotumika Tanga na Morogoro iwekwe kwenye PDF, acha - - - - - kwenye sehemu ya jina, cheo na mkoa, akijitokeza mwingine ni kitendo cha dakika moja ku edit, fyekelea mbali hadi wateme mbung'o wapo wengi.
 
1000006473.png
 
Ukiona adui yako anakusifia jiangalie mara mbili mbili, lkn ukiona vilio vimezidi jua umewashika panapostahili.

Hawa unaowasikia ni vispika tu endelea kukaza kamba hadi mwenye spika atokeze pua.

Atakayejitokeza fyekelea mbali, Tanga fyekelea mbali Morogoro fyekelea mbali, nasikia wapo wengi,

Ile barua iliyotumika Tanga na Morogoro iwekwe kwenye PDF, acha - - - - - kwenye sehemu ya jina, cheo na mkoa, akijitokeza mwingine ni kitendo cha dakika moja ku edit, fyekelea mbali hadi wateme mbung'o wapo wengi.
Support!
 
Hahaha 😆. Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
MBIVU MBICHI KUJULIKANA NA KIASI FEDHA CHOTE AMBACHO KIMEIBWA KUJULIKANA,HIVI KARIBUNI,...
#stay tunes............................,.
 
Kwenye tone tone ulitoa sh ngapi nikurudishie.

Kwanza hata ukijua utafanya nini.
 
Ukiona adui yako anakusifia jiangalie mara mbili mbili, lkn ukiona vilio vimezidi jua umewashika panapostahili.

Hawa unaowasikia ni vispika tu endelea kukaza kamba hadi mwenye spika atokeze pua. Kaza kamba ili watu waendelee kula pesa za wajinga.

Atakayejitokeza fyekelea mbali, Tanga fyekelea mbali Morogoro fyekelea mbali, nasikia wapo wengi,

Ile barua iliyotumika Tanga na Morogoro iwekwe kwenye PDF, acha - - - - - kwenye sehemu ya jina, cheo na mkoa, akijitokeza mwingine ni kitendo cha dakika moja ku edit, fyekelea mbali hadi wateme mbung'o wapo wengi.
Safi sana john Heche
 
Back
Top Bottom