The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.
Wakuu,
Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo.
Aidha, tunashauri...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezungumzia mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita, amezungumza akiwa katika Ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), leo Machi 4, 2022.
Haya hapa ni baadhi ya mambo muhimu ambayo ameyazungumza ambayo yamekuwa na faida...
Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi.
Moscow pia imeamuru makampuni...
Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi.
Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
Ahlan wa sahlan.
Leo naomba niongelee experience yangu fupi katika betting (Kamari).
Binafsi, mimi ni mmoja wa watu waliokuwa wanaipinga sana michezo ya Kamari, maarufu kama betting. Ila kutokana na upweke (boredom) pamoja na udadisi (curiosity) wa kutaka kujua nini kipo nyuma ya michezo hii...
Mwaka 2012 nilibahatika kuhudhuria mafunzo fulani kuhusu biashara na uwekezaji.Mafunzo haya yalifanywa na wataalam ambao walikuwa wanalenga kuhamasisha uwekezaji ili kukuza biashara ndogo na za kati.Lilikuwa somo zuri sana.Katika moja ya mijadala tulizungumzia kuhusu vikoba na kwa hakika...
Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi.
Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh. 600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu.
Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi nikapendekeza mapendekezo...
Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick...
Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya...
Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani
Jamhuri October 26, 2021
Na Deodatus Balile
Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono inapotawala katika jamii.
Kwa sasa kuna minong’ono mingi. Minong’ono imeanza baada ya Rais Samia Suluhu...
Tuweke historia yetu vema,leo kulikuwa na maadhimisho ya siku ya wanawake wa CCM UWT na kumuenzi Bibi Titi Mohamed,Lakini mzee mmoja tukitizama nae mbashara sherehe hizi amenipa stori tofauti kabisa ambayo sikuijua hapo kabla kwa kuwa hainenwi,ndipo nikaamua kuchimbua makaburi nikakutana na hii...
Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na tozo ya TFS. Vibali vyote ninavyo. Anayehitaji aje Inbox tuongee. Njoo na Gunia zako upime mwenyewe...
Ni zile zilizo katika mkakati wa maendeleo ambao utekelezaji utawanufaisha wananchi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeonya yeyote atakayejaribu kufuja au kuzitumia vibaya yakiwemo matumizi binafsa sh. 1.3 zilizotokwna na mkopo wa masharti nafuu, itakula nae sahani moja.
Imesema fedha hizo ni...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30%
Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
dhihaka
mama samia
miamala
mwigulu nchemba
ongezeko la tozo
rais samia
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
serikali
shilingi
simu
suluhu
tena
tozo
tozo za miamala
watanzania
wizara ya fedha
Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo.
Hayo ndio yalikua matarajio...
Wanajamvi, salaam
Naenda moja kwa moja kwenye point
Hali halisi ya thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kwa kasi sanaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliopita, ukichukua takwimu za Benki kuu (BOT) kwa haraka tu utaona na kudhibitisha hayo, ukiangalia kwa mwezi July mpaka August 2020 utagundua...
Habari ndugu zangu.
Kuna hii hospitali inayoitwa Machame hospitali, nimewahi kuwa na mgonjwa wangu pale siku chache zilizopita.
Ilifikia wakati akahitajika kuongezewa damu. Tulijitokeza ndugu kadhaa kutaka kuchangia damu lakini tuliambiwa pamoja na kutaka kuchangia damu inatubidi tulipie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.