The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.
TCRA kuna nini huko, Nachojua hizi internet TCRA ndio kama anaewajumulia mitandao ya simu waje kutuuzia kwa reja reja, Hatuwezi kuilaumu mitandao ya simu bali TCRA, Wao wakipandisha bei basi na mitandao inapandisha.
Kuna nini hasa ? Hizi ni danadana za haba na haba hujaza kibaba sitakja...
Kupitia Hotuba ya Waziri wa Nishati kwa Mwaka 2022/ 2023 Serikali imetenga Milioni 500 kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupigia ambayo ni Gesi.
Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2022/23, Serikali itatekeleza miradi, mipango na mikakati ya matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia hasa...
Miezi minne tangu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel aagize wanawake, vijana na wenye ulemavu waliotokomea na Shilingi bilioni 4.9 za mikopo ya halmashauri kuzirejesha tayari shiingi bilioni 1.45 zimerejeshwa na vikundi hivyo.
Gabriel alitoa agizo hilo Aprili 25 mwaka huu huku akisema Sh4.9...
Bei ya mahindi nchini Tanzania inaogofya sana hadi kufikia 100000-130000 kwa gunia la kilo 100 kwa baadhi ya mikoa ya nchi hii.
Kupanda kwa bei ya mahindi imepelekea wananchi wa kawaida kununua unga wa kupikia ugali kati ya 1400-2000 kwa kilo moja, hali ya upatikanaji wa chakula hicho inazidi...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa saba wa Bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Katika mengi aliyoyazungumzia mimi nimefurashishwa na kitendo cha...
Nimewaza kutafuta biashara nitayopata faida sh 2000 kwa kila item. Nimepiga hesabu nitatengeneza million na zaidi kwa mwezi.
Hesabu ipo hivi, niweze kuuza bidhaa 500 ndani ya mwezi, nipate shilingi 2,000 faida kwa kila bidhaa. Kwa siku niuze bidhaa 20 na kila bidhaa niuze kwa faida ya Tsh 2000...
Ndugu zangu,
Nataka kwenda sehemu yoyote Tanzania nikapumzike kwa wiki moja. Bajeti yangu ni kama Shilingi 200,000/= hivi. Je inawezekana kwa bajeti hiyo?
Matarajio yangu ni haya.
1. Sehemu hiyo iwe na mandhari nzuri za asili. Nataka nitembee, niexperience maisha ya kawaida ya watu, nipoze...
Na Eva Ngowi, Dar es Salaam
Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imetia saini mkataba wa kuipatia Tanzania mkopo wa Euro milioni 75 sawa na takriban shilingi bilioni 195 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Usambazaji wa Majisafi na Usafi wa Mazingira katika...
Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika.
Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT.
Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311.
Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa...
Nimeyaangalia mabango yote, yaliyobebwa na wafanyakazi, yaliyopita mbele ya mgeni wa heshima, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, sikuona hata bango moja, lililokemea vikali ufisadi mkubwa uliofichuliwa na CAG, Charles Kicheere, wa ufujaji wa mabilioni ya shilingi za pesa za walipa kodi wa nchi...
Habari za wakati huu wakuu;
Leo nataka niwe BRIEF maana katika maoni ya wadau niliyopata ni kwamba nipunguze urefu wa maandiko yangu kwa sababu baadhi ya watu wana processing power ndogo na wakifika mwisho wa andiko wanakuwa wamesahau ujumbe wa msingi.SO nitakuwa BRIEF
WAZO LINAHUSU NINI?
Wazo...
Naendelea kuipitia ripoti ya CAG ambayo imesema deni la Taifa limeongezeka kwa 13.7% kwa mwaka wa fedha 2020/21 ambapo mwaka uliotanguliailiongezeka kwa 7% ongezeko limetajwa ni kwa sababu ya kushuka kwa thamani ya shilingi.
Deni la nje ndio limekuwa kwa kasi kuliko deni la ndani ambapo deni la...
Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae.
Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote.
Asanteni, naomba kuwasilisha
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHANGIA SHILINGI MILIONI KUMI MFUKO WA YATIMA NA WAJANE MKOA WA DODOMA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amechangia shilingi milioni kumi katika mfuko wa kuwahudumia mayatima na wajane mkoa wa Dodoma.
Mchango wake huo...
Hii ni hatari!
Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka!
Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500!
Kwenu studio.
Serikali kupitia Wizara ya maji imetenga jumla ya Sh 12,523,727,274.27 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambazo ni kwa ajili ya kujenga, kukarabati na kufanya, upanuzi wa miradi mbalimbali ya maji katika Mkoa wa Mtwara.
Meneja wa Wakala wa Usambazaji Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa)...
Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani?
Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida?
Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.