The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.
Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa.
Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio...
Hii wachumi tunaomba mtupe shule kidogo, zipi athari zake kiuchumi kwa maisha ya mtanzania? Ukosefu wa ajira na matatizo ya kiuchumi vijana tutachomoka?
Kama ulidhani ulielewa somo la fraction au decimal jitafakari
Kuna robo ta robo
Watu wa mikoani huwa wanashangaa watu wa mjini kula miguu,utumbo na vichwa vya kuku,ule sio umasikini bali ni utamaduni tu.ndiomaana mtu wa pwani yuko tayari kuacha kula wali akala matandu au ukoko.
Kuna kabila moja...
SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA
📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji
📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6...
Bilionea WA Nigeria amezikwa na Gari mpya Bmw lenye dhamani ya shilingi milion 800 .. Mazishi ayo ya kufuru yamefanywa na Rafiki zake aliokua akifanya nao biashara kabla hajapata umauti..
===
A Nigerian man has recently buried his father in a brand new BMW, instead of a coffin, according to...
Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi .
1966 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania .
2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania.
Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi Chuo cha VETA cha Mkoa wa Rukwa kilichopo katika Kijiji cha Kashai, Kata ya Momoka, Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Julai 16, 2024, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani Rukwa.
Rais amesema kwa sasa mkoa...
Kero yangu ni kuhusu tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa dollar badala ya shilingi kama alivyoagiza. Mfano Ankara za kulipia leseni za tume ya Madini za dollar 1,000 zinaandaliwa kwa mfumo wa dollar.
Ukienda benki kulipa wanadai hawalipii mpaka uwe na dollar...
Anonymous
Thread
dola
fedha
kuhusu
serikali
shida
shilingi
tamko
wafanyabiashara
waziri
waziri wa fedha
Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (kulia) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Wateja wa Awali na Kati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul wakizindua rasmi Akaunti ya Biashara 'CRDB Biashara Account' kwenye hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wajasiriamali Duniani iliyofanyika kwenye...
SHILINGI BILIONI 2.6 ZATENGWA KWAAJILI YA MATENGENEZO YA BARABARA JIMBO LA MBOGWE
"Ili kukarabati Barabara katika Jimbo la Mbogwe, kiasi cha Shilingi Bilioni 2.6 zimetengwa katika mwaka 2024/2025 kwaajili ya kuendelea kutengeneza matengenezo ya Barabara. Fedha zilizotengwa zitatumika pia...
Kulingana na data zilizopo hata mtandaoni, shillingi yetu imeshuka kwa kiwango cha kutisha.
REKODI ZIPO HIVI:
Mwaka 2020. 1 Dollar -Tshs 2,314.8
Mwaka 2021. 1Dollar -Tshs 2,314.3
Mwaka 2022. 1Dollar- Tshs 2,326.1
Mwaka 2023 1Dollar- Tshs 2,419.6
Mwaka 2024 1Dollar-...
TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA
📍Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme
Benaco - Kyaka
Na Charles Kombe, Dar es Salaam
Shirika...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amesema Serikali imedhamiria kujenga Barabara kwa kiwango cha Lami katika Jimbo la Lupembe ambapo amesema jumla ya shilingi Million 500 zimetengwa.
Katimba amesema hayo...
BUNGE LAPITISHA BAJETI WIZARA YA UJENZI KWA ASILIMIA 100
Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na...
Ndugu wanaBodi...
Ni matumaini yangu mmemaliza salama majukumu yenu ya siku kwa uweza wa Mungu. Ila kwa wale wanaoingia nightshift basi ikawe Heri na watoke salama asubuhi.
Lengo la Uzi huu ni kuelezea changamoto niliyokumbana nayo Leo pale Kigamboni.
Nikiwa katika shughuli za Kila siku za...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya ameyasema hayo...
Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.