The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.
Jamani mimi nataka kujua hivi Tanzania inamiliki pesa jumla kiasi gani?. Nataka nichukue jumla ya pesa zote Tanzania nigawe Kwa idadi ya watu nchini halafu tujue wastani kila mtu anatakiwa na kiasi gani.
Hii itasaidia kuweka wazi hata Kwa sheria kwamba kila mtu nchini Tanzania anatakiwa kumliki...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduz (MNEC) na Mfanyabiashara wa Makampuni ya ASAS, Salim Abri Asas amechangia zaidi ya Tsh. milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa bweni la Wanafunzi wa Chuko Kikuu cha Iringa lenye uwezo wa kuchukua Wanafunzi zaidi ya 40 kama sehemu ya kuunga mkono...
Niende moja kwa moja kwenye wazo langu. Licha ya kwamba biashara ni huria lakini naamini Nchi ina taratibu zake hasa kwenye masuala ya Kifedha. Na imeshatokea mara kadhaa Serikali kuagiza malipo ya ndani ya Nchi isipokuwa kwa Watalii yafanyike kwa Shilingi ya Tanzania lakini hali ni tofauti...
Mzuka wanajamvi.
Naomba kuuliza ghorofa kama hili kujenga hadi kulimaliza linagharimu shilingi ngapi?
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Cc mrangi Sky Eclat Pdidy dy Mr Q Mzee Kigogo
Askari Wanyamapori Bw. Ibrahim Silas Mtaki, Mfanyabiashara wa mbao Bw. Roden Esches Mwalongo na Mjasiriamali Bi. Lilian John Jombe, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kwa shtaka la kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania hasara ya kiasi cha Shilingi 2,231,000/=...
Kimsngi sina sababu kubwa sana ila kwa mtazamo wangu naona ni noti fulani isiyo vutia
Rangi mbaya na ni pana(kubwa) sana
Wenye mamlaka litizameni hili.
Kausha damu: Unawekeza mtaji wa shilingi 1,000,000, unavuna faida ya shilingi 300,000 mpaka 400,000 kwa mwezi. Nitajieni biashara nyingine kama hii.
Tunaposema hii mikopo ni kausha damu na initia watu umasikini, basi hicho ndicho kinachofanyika.
Hivi leo hii ukipewa mtaji wa shilingi 1000,000...
Serikali inatarajiakupata dola za Marekani bilioni 20 sawa na takribani Shilingi trilioni 50 kutokana na biashara ya hewa ya ukaa.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amesema yapo mazungumzo yanaendelea kati ya serikali na kampuni 22 kwa ajit ya biashara hiyo. Alisema hayo Dar es...
Habari Wakuu,
Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu za kuweka Donat zangu.
Donati zangu zauza shilingi 100, nikiweka kwako nitakupa shilingi 20 kwa kila donati.
Nipo Mabibo, Dar es Salaam
Kila siku inazidi kushuka thamani sasa ni kenya tsh 1 sawa na tsh 16.51 wakati zamani ilifika mpaka 22
Ni hujuma kwa Ruto
Ama wakenya wamerudia tabia yao ya asili ya uvivu
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wilayani humo.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri...
Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
NAIBU WAZIRI DUGANGE: BILIONI 23 ZIMEELEKEZWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO WANGING'OMBE
ZAIDI ya Sh. Bilioni 23 zimepelekwa katika Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya afya, elimu na barabara katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais...
Dhahabu ni pesa isiyoshuka thamani,tangu kuumbwa kwa dunia,dhahabu haijawahi tetereka katika soko la dunia,tukisubiri kugawana pesa baada ya hesabu wajanja watatangaza hasara,na kwa nini pesa na si dhahabu isiyoshuka thamani, tubadili sheria, tugawane Gold Bars(vitofali),Wazalendo wa nchi hii...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ambae anasema Raisi huyo wa Yanga aliamua kufanya hivyo kuondoa usumbufu na pi imesaidia kukabiliana na zile njama/mbinu za kupandisha viingilio katika hii mechi.
Ally Kamwe amesema haya wakati akihojiwa baada ya mechi kwisha.
Nimeshangaa sana hii ishu na huenda ndio maana wamarekani huwa wanalia sana ukiendekeza wanawake unafilisika.
Yaani kununua dada poa ni dola 300 (Tshs laki 7 na nusu), ukiomba upunguziwe na kakuelewa labda 250 (Tshs laki 6 na 20), ukilia sana basi iwe walau short time basi 200 (Tshs laki 5 )...
SHILINGI BILIONI 3 KUDHAMINI JEZI ZA TIMU ZA TAIFA; DKT. NDUMBARO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kuwatumia wawekezaji wa ndani kutengeneza jezi za mpira wa miguu wa timu...
Habarini Wana JF.
Glass protector aina zote zinapatikana kwa bei ya shilingi elfu moja per item.
napatikana kivule dar es salaam ukihitaj nakuletea popote ulipo kwa dar es salaam.
Contact: 0753158943
Habari wanajamii,
Nilikuwa naomba mnipe mchanganuo wa pesa ili niandae nikatembee Kenya, nina mpango wa kukaa wiki moja, siku nne Mombasa, siku tatu Nairobi.
Mchanganuo ujumuishe:
-Pesa ya usafiri (Dar-Mombasa-Nairobi-Arusha-Dar)
-Malazi (nimejaribu kuangalia mtandaoni kuna cheap hotel mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.