shilingi

The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dola kutaongeza Deni la Taifa kwa karibu Tsh. Trilioni 2

    Tanzania huenda ikatumia gharama kubwa kugharimia deni la Taifa, ikiwa ni miongoni mwa athari zinazosababishwa na kuongezeka kwa thamani ya Dola ya Marekani dhidi ya Shilingi. Hali hiyo ina athari hasi katika uchumi wa nchi kwa sababu hivi sasa inahitajika shilingi nyingi zaidi ili kupata Dola...
  2. Equation x

    Watu hawataki kutembeleana siku hizi, kila mmoja yuko bize kusaka shilingi

    Kuna mzee mmoja nilikutana naye eneo moja la kazi miaka 12 iliyopita, na katika mazingira ya kazi tulikuwa tukiheshimiana sana, na tulikuwa tukiishi kama familia; leo tukale wapi au kunywa wapi, mara moja moja ilikuwa ni kitu cha kawaida. Baada ya muda kupita aliamua kung’atuka na kwenda...
  3. Roving Journalist

    Miradi ya uchimbaji mkubwa wa madini ambayo Serikali ina hisa, imechangia mapato ya Serikali ya jumla ya Shilingi Trilioni 1.53

    MIGODI MIKUBWA YENYE UBIA NA SERIKALI YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 1.53 KUFIKIA JUNI, 2023 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu Katibu Mkuu Mahimbali aeleza Mipango Kabambe kuendeleza Sekta ya Madini, aeleza Miradi Mingine Mbioni kupewa Leseni Dodoma...
  4. M

    SI KWELI Akiba ya dola za Kimarekani yakauka Benki Kuu ya Tanzania

    Hili sakata la dola linanivuruga sana, ukifuatia kulikuwa na taarifa mtandaoni kuwa Tanzania kuna uhaba wa dola Za kimarekani. Sasa naona tena kuna taarifa inazagaa mtandaoni kuwa BoT akiba hiyo imekauka kabisa, na si dola pekee sasa hadi shilingi ya Tanzania nayo imekauka. Kuna ukweli hapa...
  5. BARD AI

    Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka Thamani dhidi ya Dola

    Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka thamani dhidi ya Dola Watanzania sasa wanalazimika kuingia zaidi mifukoni mwao ili kulipia zaidi katika uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi huku kukiwa na hali ya kutia wasiwasi juu ya kuendelea kuporomoka kwa shilingi...
  6. GoldDhahabu

    Naomba ushauri kwa ajili ya safari ya kitalii Afrika

    Tafadhali naomba mchango wako wa mawazo! Nimekuwa nikitamani sana kuzitembelea baadhi ya nchi za Afrika ambazo bado sijafika. Ninatarajia kutimiza sehemu ya hiyo hiyo ndoto hapo baadaye mwaka huu. Ninatarajia kutembelea alau nchi nne, kama bajeti itaruhusu, nazo ni AFRIKA KUSINI, BOTSWANA...
  7. Superintendent kimura

    Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika maeneo ya kuchezea, vyumba vya wachezaji na kutoa viti vyote vya uwanja huo. Uwanja...
  8. Pascal Ndege

    Aliyewapa tenda CCM kazi ya kutete DP world kwa wananchi ni nani? Amewapa shilingi ngapi?

    Kuna campaign nchi nzima na mikutano ya usiku na mchana kutetea uwekezaji Bandari ya Dar es salaam na uwekezaji wa baadae kwa Bandari zote za Tanzania kwa kampuni Moja tu ya DP World. Hizi pesa za campaign zingewekezwa kwenye elimu na barabara nchi ingekuwa mbali kiuchumi. Mimi naona campaign...
  9. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Igunga - Shilingi Bilioni Mbili zimetumika kujenga Madaraja ya Kata za Mtungulu na Mwamashiga yaliyokuwa kero kwa muda mrefu

    📍 Mtungulu, Igunga Msafara wa Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa ukiwa umesimama kwenye Daraja la Mto Mtungulu huku Wajumbe wa msafara wakicheza kwa furaha baada ya kuona ujenzi wa daraja umekamilika kwenye Mto uliokuwa ukisumbua Wananchi kuvuka kutoka upande mmoja kwenye...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Edward Lekaita akabidhi Vifaa Tiba vyenye thamani ya Shilingi Milioni 136

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa tiba kituo cha Afya cha Engusero (Milioni 100), Zahanati ya Ngipa (Milioni 18) na Zahanati ya Nchinila (Milioni 18) vyenye thamani ya shilingi milioni 136. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Vijana...
  11. Mr Q

    Huyu Honda namfikisha Tanzania kwa Shilingi ngapi?

    Picha zinajieleza
  12. S

    Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

    SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake. "Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka...
  13. kijanamtanashati

    Kwa Shilingi milioni 5 mtu anaweza akafanya biashara gani?

    Umu kuna wajuzi na wadau wa mambo mbalimbali naona mtaweza saidia katika hili. Shilingi milioni 5 ya kitanzania mtu anaweza akafanya biashara gani ya kumuingizia kipato kizuri. Msada wenu wakuu.
  14. R

    Tangaza biashara yako kwenye mji wako kwa sauti (audio advertising) kwa shilingi mia tano tu

    Tangaza biashara au tangazo lolote halali la sauti lisilozidi dakika moja kwa shilingi 500 tu. Rekodi tangazo lako kwa simu au njia nyingine na uweke namba za mawasiliano kwa kuzirudia mara tatu. Taja mji unapotaka tangazo lisikike. Tunatumia mobile loud speakers kutangaza. Pm au tuma ujumbe...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Napendekeza Serikali ya Tanzania ichapishe Noti za Shilingi Elfu (50,000) na Laki moja (100,000)

    Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu. 1. Pendekezo...
  16. P

    Waziri wa zamani asema January Makamba ameisababishia nchi hasara ya Shilingi trilioni 1.268

    Kwenye mchango wake kwenye hotuba ya bajeti ya Waziri wa Nishati, January Makamba, ya 2023/24 iliyopitishwa na Bunge jana, Waziri wa zamani, Luhaga Mpina, amehoji madudu yafuatayo yaliyofanyika kwenye wizara ya Nishati chini ya Makamba: MKATABA WENYE UTATA WA TEHAMA WA SHILINGI BILIONI 70 BAINA...
  17. Stephano Mgendanyi

    Shilingi Milioni 550 Zakamilisha Ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi

    SEKTA YA ELIMU KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, (Naibu Waziri Uwekezaji, Viwanda na Biashara) tarehe 28, Mei, 2023 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi iliyopo Kata ya Ikongosi. Shule ya Sekondari Mufindi...
  18. Kurunzi

    Tuitazame kauli ya Ally Kamwe kwa upande wa pili wa Shilingi

    Ni kijana tu kaghafilika ndiyo maana ameomba radhi. Yes alicho kifanya Ally Kamwe huenda kimeleta ukakasi lakini hebu tulitazame hili kwa jicho la pili. Wakati Mwingine Nchi hii usipojitoa ufahamu wanaweza kukuzoea wakakuchukuliwa poa kwahiyo wakati mwingine ni kuishi nao wanavyotaka wao. Juzi...
  19. Stephano Mgendanyi

    Shilingi Trilioni 3.554 Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi 2023/2024

    BAJETI YA TRILIONI 3.554 KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI - WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 3.5 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara, madaraja, viwanja vya...
  20. Stephano Mgendanyi

    bunge wa Jimbo la Ulyankulu Mhe. Rehema Migila Amshikia Shilingi Aweso Mpaka Ajibu Hoja ya Maji

    MBUNGE REHEMA MIGILA AMSHIKIA SHILINGI AWESO MPAKA AJIBU HOJA ZA MAJI KWA KALIUA, ULAMBO NA IGUNGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Rehema Juma Migila akichangia hoja kwenye Bajeti ya Makadirio ya mapatao na matumizi ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara ya Maji "Halmashauri ya...
Back
Top Bottom