Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.
Ikiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana..
Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga wameamua Kutoa Msimamo wao Ambao unapingana na Mwenyekiti wa Mkoa Huo hivyo hawakumshirkisha Kwenye...
Jana Nilikuwa nikisafiri kutoka Dar to Mwanza for sherehe za Christmas & New year 2025 kwakweli safari ilikuwa nzuri sana tena nikakunjia njia ya Tabora baada ya kufika Manyoni; Shida ilianza baada ya kutoka Shinyanga especially pale junction ya Old Shinyanga road hadi Usagara Mwanza.
Dah...
REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 13,020 KWA BEI YA RUZUKU MKOANI SHINYANGA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku, ambapo inatarajia kugawa mitungi 13,020 katika mkoa wa Shinyanga, Mradi huo utagharimu jumla ya...
Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto wake wa kike anayeitwa Anna Peter (6) huku chanzo cha tukio kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa familia kati...
Wakuu,
Wakiwa wanahojiwa kwenye kituo cha TVE wananchi wa mbalimbali wametoa maoni kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye Uchaguzi.
Mmojawapo wa wapiga kura alidokeza kwenye mtaa wake hakuna karatasi maalum za kupigia kura na badala yake karatasi za notebook zinatumika...
Nimefika Kata ya Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga. Tumekamata kura fake 41 kutoka kwa msimamizi msaidizi wa kituo cha Ndembezi Shule.
Tumewakabidhi Polisi Kura hizo fake zaidi ya 40 tulizozikamata.
Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye...
Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu.
Sambamba na hilo Mongella ameongoza maandamano makubwa kutoka ofisi za CCM, Mkoa hadi kata ya Kitangili kuhamasisha wananchi...
MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Shinyanga.
Mjumbe huyo wa...
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga imeanzisha kampeni ya kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kwa kutumia michezo mbalimbali.
Bonanza la michezo lililofanyika katika kata ya Tinde limejumuisha mbio za baiskeli kwa wanawake...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ataongoza Wajumbe wa Secretarieti kufanya ziara nzito sana ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya CCM,kusikiliza na kutatua papo kwa papo kero za wananchi pamoja na kuhamasisha watu kuiunga mkono CCM katika uchaguzi wa...
Ee bwana wanyamwezi walikuwa na huyu mzee ambaye kwa sasa ni MarehemU, alikuwa jembe na nusu.
Huyu mzee alikuwa awe chief baada ya baba yake Andrea Sazia, lakini uhuru ndipo ulipatikana na hivyo uchief ukawekwa pembeni, huyu mzee alitokea familia ya kitawala huko kwa Wanyamwezi walioshi...
Jana nilikuwa na safari ya kwenda Shinyanga kutokea Mwanza. Niliyoyaona njiani wananchi wakiteseka kutafuta maji kweli inasikitisha sana huku tukiwa na Ziwa Victoria kwenye ukanda wa Ziwa.
Serikali ihakikishe maeneo ya Nyasamba, Bubiki, Mipa na maeneo mengi katika Mkoa wa Shinyanga wanapata...
Wadau naulizia gharama za Nauli ya treni kutoka shinyanga kuja Dar maana kuna mtu nahitaji kumsafirisha.Pia nauliza hiyo nauli inakatwa Kwa booking au papo hapo, na kama jumapili treni ipo
Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan
Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AGAWA VIFAA VYA MICHEZO KWA WANAFUNZI SHINYANGA VIJIJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava amegawa vifaa vya michezo kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kaselya iliyopo katika Kijiji cha Igegu Kata ya Mwamala Wilaya ya...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Eric Kirumba mnamo tarehe 9/7/2024 alishiriki kugawa Mitungi ya Gesi kwa Wakunga wa Shinyanga DC na Shinyanga Manispaa kuwahamasisha kutumia nishati mbadala
"Tunatambua majukumu waliyonayo Wakunga, ili kutimiza majukumu yao kwa haraka...
Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai.
Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki.
Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.