Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.
TAKUKURU mkoa wa Shinyanga katika ufatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi, manao tarehe 29/06/2020 majira ya saa tatu usiku mtaa wa Mwasele B nyumbani kwa Joseph Jonas Tasia ilikamata doti mia sita za vitenge zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi na vya kawaida vikiwa...
"Katika kipindi cha likizo ya COVID 19 Wanafunzi 101 Shinyanga wapata mimba"
WANAFUNZI 101 mkoani Shinyanga wamepata ujauzito katika kipindi cha mwezi mmoja, kuanzia Machi hadi Aprili Mwaka huu.
Wanafunzi hao wamepata ujauzito huo katika kipindi cha likizo ya kujikinga na maambukizi ya homa...
Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania, Ochola Wayoga, amedai watoto 102 wenye umri wa miaka 13 mpaka 17 wa shule za msingi na sekondari katika Mkoa wa Shinyanga, wamepata ujauzito wakati shule hizo zilipokuwa zimefungwa kutokana na ugonjwa wa corona.
Chanzo: Nipashe Habari
Kuna Shule Moja ya...
MKAZI wa Kijiji cha Sekedidi, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, Lucia Mahazi (42), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kiume wa siku mbili na kisha kumzika, kwa madai ya kutelekezwa na mwanamume aliyempa ujauzito.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana...
Msaada wadau
Natarajia kwenda shinyanga wiki ijayo. Naomba kujua Guest/Lodge au hotel nzuri ya gharama kati ya 20,000 na 30,000 kwa siku. Mimi ni mgeni kabisa Shinyanga.
Natanguliza shukrani
Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mussa Jackson Kisinza, (25) mkazi wa kijiji cha Mwakitolyo namba 02 wilaya ya Shinyanga kwa kutoa taarifa ya uongo kwa kumpigia simu na kumdanganya Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kuwa ana ugonjwa wa Covid 19...
Mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Athumani amefariki dunia mara baada ya kukanyagwa na gari hilo katika stendi kuu ya mabasi ya Shinyanga, mwili wake umepelekwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga.
Taarifa zinasema kua Basi hilo linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Dar...
Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora wamepelekwa katika Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma ikiwa ni mkakati maalumu wa Serikali kuliteua gereza hilo kuwa Kituo Kikuu cha Uzalishaji wa zao la mchikichi nchini.
Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
Majengo mawili ya nyumba za walimu ambayo ujenzi wake haujakamilika katika Shule ya Sekondari Mwasele, Kata ya Kambarage, Manispaa ya Shinyanga, yamedaiwa kugeuzwa danguro na kusababisha baadhi ya wanafunzi kupewa ujauzito na kuacha masomo.
Diwani wa Kambarage, Hassani Mwendapole, alipaza...
Jambo hili lilibainishwa jana katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto,yaliyofanyika katika kijiji cha Penzi kata ya Mondo kupitia Shirika lisilo la kiserikali la World Vision chini ya mradi wa Enrich.
Taarifa inaeleza kuwa, wanawake...
Jobs Opportunities at Kahama Shinyanga Water Supply and Sanitation Authority 03rd December - Ajira Zetu
14-17 minutes
Currently, KASHWASA supplies bulk water to Water Supply and Sanitation Authorities of Shinyanga, Kahama, Ngudu, Kishapu, Maganzo, Isaka, 68 Community Based Water Supply...
Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao na mkuu wa upelelezi mkoani humo, John Rwamulema kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili.
Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Novemba 23, 2019 na msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime inaeleza kuwa...
Rais Magufuli amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Kamanda wa Polisi wa mkoa na Afisa upelelezi wa mkoa wa Shinyanga kutokana na tuhuma za kuhujumu uchumi.
Kadhalika Rais Magufuli amemuagiza Kamishna mkuu wa TRA kumsimamisha kazi Meneja wa TRA mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchumi...
Mkazi wa Kijiji cha Chela katika Halmashauri ya Msalala Mkoani Shinyanga, Buluba Jilasa (70) amejeruhiwa na fisi kwa kung’atwa sehemu mbalimbali za mwili wake akiwa amelala.
Akizungumza na waandishi wa habari akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Halamashauri ya Mji wa Kahama Jilasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.