Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Shinyanga una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni:-
Shinyanga Mjini -
Patrobas...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, linawashikilia vijana wawili, wakazi wa mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka sita kwa zamu.
Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Debora Magiligimba, akitoa taarifa hiyo jana kwa vyombo vya habari, alisema tukio hilo lilitokea...
Wakuu bado tunaendelea kuwaletea taarifa za Mh Tundu Lissu kutoka popote anapopita kuomba kura.
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.
=========
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu, akiambatana na mkewe, Bi. Alicia Magabe, akimjulia hali Ndugu...
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIBORESHE MASLAHI YA WALIMU" PROF.LIPUMBA"
SHINYANGA
Mgombea Urais CUF, Prof.Ibrahim Lipumba amesema atakapoingia madarakani atarekebisha muundo wa elimu na kuboresha maslahi ya walimu kwa kuwa walimu ndio wanaotengeneza rasilimali watu wenye tija wanaoweza kuiwezesha...
RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA"
KATA YA DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI
NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA"
DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI...
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDE SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"
USHETU, SHINYANGA.
Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi,
kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majerahay anayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini...
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"
USHETU, SHINYANGA.
Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha
yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini...
PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA LEO WILAYANI USHETU, SHINYANGA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba leo atawahutubia wananchi wa Wilaya ya Ushetu, Mkoani Shinyanga.
Prof. Lipumba atahutubia kata ya Idahina eneo la Mwabomba, Machimboni, kata ya Bulugwa saba...
Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa...
Na Baraka Mina.
Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa...
Na Baraka Mina.
Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa...
Leo kishindo cha awamu ya tano kitakuwepo uwanja wa Sabasaba Kambarage ambapo mgombea wa CCM, Dkt. John Pombe Mafufuli atakuwa jukwaani kunadi sera zake.
Dkt. Magufuli: Miaka 5 haitoshi, nipimeni kwa miaka 10
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa.
Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa uongozi ni kuhujumu uchaguzi mkuu.
Maneno kama haya kuzungumziwa wananchi ni kama kuwatisha kwa...
Hivi hizi awamu huwa ni miaka mingapi, maana kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 5 nafikiri zingekuwa zimeshazidi Awamu 5.
Mwenye kufahamu hili anifumbue macho.
WanaJF
Karibuni kufuatilia mapokezi makubwa ya Mgombea Urais CHADEMA Tundu Lissu hapa mjini Shinyanga.
Lissu anatarajiwa kuhutubia mkutano Mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Joshoni ikiwa ni uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Serengeti.
Mgombea huyo wa Urais anaambatana na Mgombea Mwenza...
Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500
Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.
Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati...
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa...
Naomba nitangaze maslahi binafsi kwanza! Mimi ni Mzaliwa wa Shinyanga,Wilaya ya Kishapu.
Hivyo ninaumizwa sana na uwakilishi hafifu toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hapa Tanzania mwaka 1992.
Mkoa wangu huu pendwa wa WASUKUMA wazee wa Nduhu Tabu hata kama anapingu mkononi!!!!! Tubadilike...
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, natokea Mpanda na kuingia stendi kwa basi la kampuni X muda wa kutoka tukazuiliwa na traffic polisi mweusi mrefu ambaye amelewa chakari ambaye alikuwa anatoa maelekezo ya hovyo na katukalisha kwa dk 40 bila sababu za msingi hii haipo poa pombe zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.