shinyanga

Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Christopher Wallace

    Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

    Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA. My take: Nyani wapya msitu wa zamani
  2. Erythrocyte

    Video: Msafara wa CHADEMA kuelekea Shinyanga Usipime! Maandalizi yakamilika

    Vikao vya ndani vinaendelea kurindimishwa na CHADEMA kama ada, hii ni katika ule mpango Mkakati wa Operesheni Haki, ambapo zamu ya Shinyanga ni 28/5/2021. Sasa huu hapa ndio Msafara wao kuelekea huko, jionee mwenyewe. Nyingine hii hapa
  3. Miss Zomboko

    Shinyanga: Watatu wakamatwa kwa kutapeli Watu wakijidai ni Usalama wa Taifa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia watuhumiwa watatu Dismond Zakaria ambaye ni Mwalimu (33) Feisal Husein Mtaalamu wa Teknolojia ya Mawasiliano (27) na Juma Almasi (35) Mfanyabiashara kwa tuhuma ya kupatikana na nyaraka za Serikali za kughushi kwa lengo la kufanya utapeli kwa...
  4. GENTAMYCINE

    Upepo wa Wiki hii si mzuri sana ' Kinyota ' Simba na Yanga chezeni ' Kiumakini ' mno mechi zenu za ASFC Leo Shinyanga na Kesho Dar es Salaam

    Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%. Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium...
  5. N

    Metacha Mnata afukuzwa kambini Shinyanga kwa utovu wa nidhamu

    Habari kama hizi makanjanja huwa wanazikaushia hapo lazima uwasifu mafioso wa utopoloni kwa jinsi walivyoweza kulifanikisha hilo. Hao jamaa ni bora wa discuss tweets za Mo Dewji kwa lisaa limoja kuliko vurugu za Lamine Moro kule Kigamboni, wachezaji kugomea mazoezi magumu kabla ya mechi...
  6. Parody

    Shinyanga: Watoto waokota bomu ambalo halijalipuka lililoachwa na wanajeshi waliokuwa katika mafunzo ya kivita

    Wananchi wa Vijiji vya Nyiboko, Borenga, Machanchari na Maremboto vilivyopo Kata ya Kisaka wilayani Serengeti wameliomba Jeshi la Wananchi (JWTZ) kukagua na kuondoa mabomu yaliosalia maeneo ya makazi baada ya Watoto kuokota bomu ambalo halijalipuka mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya kivita...
  7. beth

    Shinyanga: Mume amuua Mkewe akimtuhumu kutumia ARV kwa siri

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia, Peter Elias (29) mkazi wa Ndembezi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mkewe, Pili Luhende akimtuhumu kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) kwa siri. Akizungumza Ijumaa Mei 7, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Debora Magiligimba...
  8. YEHODAYA

    Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko Shinyanga chafunguliwa kuendelea na uzalishaji

    Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko SHINYANGA chafunguliwa kuendelea na uzalishaji. Source: Taarifa ya habari CHANNEL 10 Tuendelee kupeleka punda kwa wingi
  9. beth

    TAKUKURU kuwaburuza Mahakamani Vigogo wa Halmashauri ya Shinyanga

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Shinyanga, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wa halmashauri, kwa tuhuma za kugushi nyaraka za manunuzi na matumizi mabaya ya mamlaka. Kaimu Kamanda wa TAKUKURU mkoani Shinyanga, Francis Luena, ametoa taarifa hiyo leo kwa...
  10. beth

    Wahalifu 231 wakamatwa na Polisi Shinyanga

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limefanya Operesheni maalumu ya kukabiliana na kuzuia makosa ya uhalifu na kufanikiwa kukamata wahalifu 231 wanaojihusisha na unyang’anyi wa kutumia silaha, wakata mapanga na waganga wa jadi wanaojihusisha na upigaji ramli chonganishi ambazo ni chanzo na...
  11. Bhujegwe

    Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

    Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano. Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
  12. Miss Zomboko

    Shinyanga: Babu abaka Mjukuu wake wa miaka 7 wakati Bibi akiwa amelazwa Hospitalini

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Juma Emmanuel (53) mkazi wa Nhelegani katika Manispaa ya Shinyanga kwa kosa la kubaka. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari ambayo imetolewa leo Aprili 17, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Debora Magiligimba, tukio hilo...
  13. Miss Zomboko

    Wanawake Shinyanga walalamikia watoto wasio na bima kukosa matibabu

    BAADHI ya wanawake wenye watoto chini ya miaka mitano wilayani Shinyanga, Mkoani Shinyanga, wasio na bima ya afya ya CHF, wamelalamika kunyimwa matibabu ya watoto wao kwa kukosa kadi hizo. Wamepaza kilio hicho kwa nyakati tofauti kwenye sherehe wanawake wilayani Shinyanga iliyokuwa na lengo la...
  14. B

    Umasikini ni mbaya: Mtoto wa miaka 9 achomwa moto kwa tuhuma ya kuiba karanga Shinyanga

    Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshilikilia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Christina Mwagi (29) kwa tuhuma ya kumjeruhi kwa kumchoma moto sehemu mbalimbali za mwili wake mtoto wake mwenye umri wa miaka 9 akishirikiana na mme wake (baba wa kambo) Yohana Michael (34) kwa tuhuma za kuiba...
  15. Replica

    Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili. ====== WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
  16. J

    Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi ofisi ya halmashauri ya Malunga Kahama - Shinyanga!

    Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV. Up dates; Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya. Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka. Maendeleo hayana vyama!
  17. Miss Zomboko

    Shinyanga: Suma JKT waagizwa kuwachukulia hatua Walinzi wake waliompiga raia Hospitalini

    Mkuu wa wilaya Shinyanga, Jasinta Mboneko, ameuagiza uongozi wa kampuni ya ulinzi ya Suma JKT, kuwachukulia hatua kali za nidhamu walinzi waliohusika kwenye tukio la kumpiga mwananchi Daudi Lefi, aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa huo kumuhudumia mgonjwa. Agizo hilo amelitoa hii leo...
  18. Champion_Boy

    Apigwa na askari hospitalini akisubiri kununua dawa za mama yake mzazi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga

    Kipande kifupi cha video tulichotumiwa na Lydia Lefi, Mkazi wa Shinyanga cha tukio la Walinzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kumchapa mikanda kijana ambaye amedai ni mdogo wake kwa kosa la kupitiliza muda wa kuona wagojwa katika hospitali hiyo. Kwa mujibu wa maelezo ya Lydia anasema...
  19. Miss Zomboko

    Shinyanga: Muuguzi wa Zahanati na Mlinzi mbaroni kwa kuiba Dawa na kuziuza nyumbani huku zingine zikiwa zime-expire

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshilikilia sungusungu wa kijiji cha Nyamalogo Fedson Matekele na William Desdez (27) muuguzi wa zahanati ya Nyamalogo kwa kosa la wizi wa dawa za binadamu katika zahanati hiyo iliyopo katika kata ya Nyamalogo wilaya ya Shinyanga na kuziuza nyumbani. Kwa...
  20. Analogia Malenga

    Petra Diamonds yachunguza manyanyaso ya wachimbaji wadogo Shinyanga

    Petra Diamonds wanachunguza madai ya Shirika lisilo la kiserikali la Uingereza lililosema kuwa wachimbaji wadogo walioingia katika Mgodi wa Williamson waliwekwa kizuizini, wakapigwa na takriban watu saba walifariki. Ripoti hiyo ilioneshwa kwenye utafiti uliofanyika Septemba 2019 hadi Novemba...
Back
Top Bottom