Rekodi ya Shirika la Afya duniani (WHO) inaeleza kuwa, kila mwaka watu wapatao 727,000 hupoteza maisha kwa kujiua, na idadi kubwa zaidi hujaribu kujiua lakini hunusurika. Kila tukio la kujiua ni janga kubwa linaloathiri familia, jamii na hata mataifa kwa ujumla, likiacha madhara ya kudumu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.