Rekodi ya Shirika la Afya duniani (WHO) inaeleza kuwa, kila mwaka watu wapatao 727,000 hupoteza maisha kwa kujiua, na idadi kubwa zaidi hujaribu kujiua lakini hunusurika. Kila tukio la kujiua ni janga kubwa linaloathiri familia, jamii na hata mataifa kwa ujumla, likiacha madhara ya kudumu kwa waliobaki. Kujiua hutokea katika hatua mbalimbali za maisha na mwaka 2021 lilikuwa chanzo cha tatu cha vifo kwa vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 29 duniani
Takwimu zinaonyesha kuwa kujiua si tatizo la nchi zilizoendelea pekee, bali ni changamoto ya kidunia inayoathiri maeneo yote. Karibu robo tatu ya vifo vyote vinavyotokana na kujiua (asilimia 73) vilitokea katika nchi zenye kipato cha chini na cha kati mwaka 2021, hali inayoonyesha ukubwa wa tatizo hili
Kujiua ni tatizo kubwa la kiafya linalohitaji majibu ya kiafya ya umma. Kupitia hatua sahihi, zenye ushahidi wa kisayansi na ambazo mara nyingi hazihitaji gharama kubwa, vifo vingi vya aina hii vinaweza kuzuilika. Ili mikakati ya kitaifa iwe na ufanisi, ni muhimu kuwa na mbinu za pamoja zinazoshirikisha sekta mbalimbali kwa ajili ya kuzuia kujiua
===========
Every year 727 000 people take their own life and there are many more people who make suicide attempts. Every suicide is a tragedy that affects families, communities and entire countries and has long-lasting effects on the people left behind. Suicide occurs throughout the lifespan and was the third leading cause of death among 15–29-year-olds globally in 2021
Suicide does not just occur in high-income countries but is a global phenomenon in all regions of the world. In fact, close to three quarters (73%) of global suicides occurred in low- and middle-income countries in 2021.
Suicide is a serious public health problem that requires a public health response. With timely, evidence-based and often low-cost interventions, suicides can be prevented. For national responses to be effective, a comprehensive multisectoral suicide prevention strategy is needed
Soiurce: World Health Organization (WHO)