Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Godius Kahyrara, amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana Serikali ya China, zinatarajia kuliboresha Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), ili kuliwezesha kuongeza ufanisi hususani katika usafirishaji wa mizigo.
Profesa Kahyrara ameyasema...
Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) limesaini mkataba wa kushiriki katika kufadhili ujenzi wa Mtambo wa Kufua Umeme wa Kakono Nchini Tanzania.
Kupitia makubaliano hayo Umoja wa Ulaya (EU) na AFD zitachangia kwa pamoja Euro Milioni 146 ambayo ni karibu nusu ya jumla ya gharama ya Euro Milioni...
Habari wadau.
Kupitia Leo tena ya clouds FM imenifanya nilijue shirika la wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa. Nikakutana na video ya maelezo ya wanachama wao.
Baada ya kuitazama hiyo video, nimecheka sana na kidogo Nimewaelewa wale wanaume wa humu jamiiforums wanaosema Kataa ndoa...
Sehemu ya 1: Kuelewa Msingi wa Uendeshaji wa Biashara
1.1 Ufafanuzi wa Malengo na Mkakati
Kuanzia na msingi wa biashara, ni muhimu kuweka malengo wazi na mkakati wa kufikia malengo hayo. Weka malengo ya shirika lako kwa muda mfupi na mrefu, na hakikisha kuwa yanaambatana na maono yako. Panga...
Nilipigwa butwaa, kama si kushangaa, mama Samia akiongea na wateule wa mashirika na nafasi mbali mbali za kiuongozi.
Lililonishangaza, eti yule mpendwa wetu Maharage Chande, alipoenguliwa TANESCO na kupelekwa TTCL, "ikagundulika"(mind you baada ya uteuzi) kuwa ana biashara yake inayo gongana...
Mabadiliko ya wakurugenzi katika mashirika kadhaa ya umma, ikiwa ni pamoja na shirika la umeme Tanzania, Tanesco yakachochee ufanisi, ubora na uhakika wa huduma za umeme nchini.
Awali, mishale ya lawama za kukatikatika kwa umeme nchini zilielekezwa kwa waziri wa nishati wa wakati huo ambae...
Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa.
Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla.
Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo...
Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya.
Ikabidi nisome fursa zilizopo...
Serikali imeyataka Makampuni ya Wawekezaji Wazawa ambao wamesaini mikataba ya uchimbaji wa makaa ya mawe Mchuchuma kufanya biashara kwa uadilifu, weledi kwa juhudi ili kifikia malengo yanayo kusudiwa, kuongeza ajira na pato la Taifa hususani dola za Marekani.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda...
Wenye side B kwenye sola na nishati nyingine hivi sasa ni muda wa kutumia hizo energy.
Kama nilipo sasa ivi hakuna umeme washakata kurudi ni jioni au usiku kabisa.
Serikali ya Uingereza inatarajia kuchukua maamuzi dhidi ya Kundi hilo la Urusi ambapo itamaanisha kuwa ni kinyume cha Sheria kuwa Mwanachama au kuunga mkono Shirika hilo.
Mapendekezo hayo yakifikishwa Bungeni na kupitishwa itamaanisha mbali na Wanachama, mali pia za kundi hilo nazo...
Kwanza kabisa naulizaa! Hivi, Shirika letu hili hatarishi Tenesco linao wasomi wanaoweza kuona tukiondokana na usumbufu huu?
Miaka nenda rudi ya utawala wa CCM na wataalam wake wa Tenesco, uwezo wao wa kufikiri unaishia tu pale Mungu anapoleta kiangazi chake, na akili za wataalam hao wa Tanesco...
STAMICO YAIELEZA KAMATI YA BUNGE LESENI INAZOMILIKI
Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe
Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo
Dodoma
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa...
Nikiwa naangali TV, kule kwenye mkutano wa mashirika ya umma. Mara ninaona wakati wa kupewa tuzo TPA wamepewa tuzo kama shirika lilinaloiingiza mpunga mrefu Tanzania baada tu ya TCRA.
Kumbe TPA wanafanya vizuri kabisa, Waziri wa ujenzi kumbe alitudanganya. Again no tu uwekezaji TPA.
TPA wapo...
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah amesema uamuzi huo umekuwa na matokeo hasi kwa miradi iliyopo Dar es Salaam zikiwemo nyumba na mali nyingine zilizokuwa zikitumiwa na Serikali na Maafisa wake zimeachwa wazi.
Kati ya Miradi iliyotajwa kuingia hasara ni pamoja na wa...
MABORESHO SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL)
Shirika la ndege tanzania (ATCL)
Ni shirika la kiserikali linalojihusisha na usafirishaji kwa wa mizigo na watu kwa njia ya anga lililopo chini ya mmiliki wa Ndege za serikali TGFA
Toka shirika hili lifufuliwe chini ya uongozi wa hayati John...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Kaimu Abdi Mkeyenge anazungumza na Wanahabari kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu taasisi hiyo.
♦️ Akabidhi Vyeti na Tuzo za Pongezi kwa wafanyakazi wa Shirika la Posta walioshiriki kufanikisha Tanzania kupata nafasi ya Ujumbe kwenye Mabaraza ya Umoja wa Posta Duniani (CA &POC).
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.