Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC)
Dkt. Naomi Katunzi ameteuliwa kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kwa miaka mingine...
SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza sokoni kwa wasambazaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za chakula katika wilaya ya Kasulu...
Kusudio la kuanzishwa, kufunguliwa na kuhuishwa kwa shirika mama la usafiri wa anga la nchi yetu pendwa
Tanzania ilikuwa lijiendeshe kibiashara, lipate faida na liweze kujisimamia na kujihudumia lenyewe bila kuwa mzigo kwa serikali.
Shirika la ATCL limekuwa na flight cancellation za mara kwa...
Habari za wakati huu wakuu
Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali.
Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye mashirika kama wafanyakazi ,wasimamizi ,viongozi nk, naomba tuwasiliane pls ,
Pia naomba ushauri na maoni...
Kuna muda nakuwa nashindwa kuielewa hii serikali yangu.
Pengine labda ni kutokana na uelewa na ufahamu mdogo nilionao kuhusu uendeshaji wa shirika letu la ndege kwani kauli na kaguzi zinazotolewa na serikali kuhusu uendeshwaji wa shirika hili zinanichanganya sana.
Kwenye ripoti ya ukaguzi wa...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao
Na Mwandishi wetu Mtwara
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji wa korosho mkoani Mtwara ili kuwajengea uelewa kuhusu viwango...
📍 Taarifa📍
Katibu Mkuu wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizaraMTH Dkt. Zainab Chaula anawakaribisha kwenye uzinduzi wa vituo vya HUDUMA PAMOJA(ONE STOP CENTER) Utakaofanyika jijini Dar es salaam tarehe 06/09/2021 saa 5:30 Asubuhi kwenye viwanja vya @posta_tz
Shirika la Afya Duniani (WHO) linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kinachofahamika kama Mu au B.1.621 ambacho kwa mara ya kwanza kiligundulika Januari 2021 Nchini Colombia.
Kwa mujibu wa WHO, Kirusi hicho kina mabadiliko yanayoashiria kinaweza kuwa sugu kwa Chanjo, lakini tafiti zaidi...
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi.
Kwa ajili ya kufufua shirika letu la posta
Napendekeza kuwe na mfumo rahisi na unaoeleweka wa ukokotoaji wa gharama za kupitisha parcel ndogo ndogo mf:
Mtu akiagiza simu moja kwa ajili ya matumizi alipie gharama za posta na 18% VAT kusiwe na gharama nyingine
Kwa sasa unaweza...
Wana jamvi nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano bila shaka kazi zinaendelea!
Juzi kati nimefanya interview na hawa jamaa wa Bureau Veritas kwa sasa nasubiri majibu ya hiyo interview. Ila naomba kwa anayejua mazingira yao ya kazi, pamoja na maslahi kwa wafanyakazi wao yapoje?
Nawasilisha
UFUNGUZI WA KIKAO MAALUM CHA VIONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA KWA AJILI YA KUTATHIMINI UTENDAJI KAZI WA SHIRIKA KWA MWAKA ULIOPITA 2020/2021 NA KUKUBALIANA MALENGO YA MWAKA HUU 2021/2022
Shirika la Posta linaendelea na kikao maalum cha tathimini ya utendaji Kazi kwa Shirika la Posta...
Sio siri kuwa miradi mingi ya nyumba za makazi na biashara hushindwa kuliteka soko kwa Watanzania wengi hasa wa kipato cha chini na badala yake nyumba nyingi zimebaki tupu bila wapangaji ama wamiliki ( wanunuzi) kwani miradi hio hukosa uhalisia wa maisha ya watu wa chini.
Makampuni hudhani kuwa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainabu Chaula, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wakuu wa Mashirika na Taasisi mbalimbali zinazotoa huduma ya kiserikali kwa jamii.
Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 6 Julai 2021, huku kikihudhuriwa na Wakuu wa...
Nimepita maeneo mbalimbali nimejionea namna shirika la reli limekuwa likitunza mavyuma chakavu kama mabehewa mataruma na makaravati ambayo yamechakaa.
Hivyo nashauri mali hizo ziuzwe kama malighafi kwa viwanda vyetu vya ndani vya kutengeneza material ya chuma (steal industry) ili tuweze kupata...
Shirika letu la Bima (NHIF) limechangia kuua Huduma za Afya katika kulipa Madai ya Hospitali zetu kwa kuchelewesha kulipa kwa wakati, ambapo hospitali zote nchini zimekuwa zikilamika kuchelewesha malipo hayo ili ziweze kununua dawa,vifaa tiba na kulipa uendeshaji wa hospitali
NHIF imekuwa na...
Wakuu hope mko poa
Naomba kujua hili shirika la international rescue committee (IRC) indeep, Lina-deal na kazi gani, na je wako fear kwenye kazi zao,
Mwisho naomba kujua jinsi ya ku-create profile, nimejaribu naona ina ugumu Fulani.
Sorry kwa badwritting, nimeazima smartphone
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.