Kwa mjibu wa gazeti la The Citizen tajiri Rostam Aziz amenunua hisa nyingi za Coastal ambayo ni Kampuni inayojishughulisha na usafiri wa anga.
Kwa umafia wa kibiashara wa Rostam Aziz Air Tanzania itapona kweli?!
======
Mfanyabiashara Rostam Aziz ameingia kwenye sekta ya usafiri wa anga baada...
Nina uzoefu wa miaka mitatu katika taaluma hii,Natafuta makampuni au mashirika yanayohitaji huduma ya land and mine surveying.
Nina uzoefu katika kazi zifuatazo;
1. Building surveying
2. Cadastral surveying
3. Road construction(engineering survering)
4. Civil 3D as Autocad
5. To operate total...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati wote tangu Machi 2020.
Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus licha ya kutotaja namba...
Wanabodi,
Hizi ndiyo gharama halisi za kuunganishiwa umeme kwenye nyumba yako na TANESCO. Je haya yote ni ya kweli? na kama ni ya kweli, je shirika hili linapata faida ya kuiwezesha kujiendesha?
Wanabodi,
Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma.
Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
Habari ndugu zangu, kama kichwa cha habari hapo juu naomba anayefahamu vzur shirika hili anifafanulie maana limetangaza baadhi ya post nataka nitupie.
Nijue interview yao wanataka nini?
Benefits( salary)
Allowances
N.k kama kuna mtu ameshapita au ana ndugu anifumbue macho
Kundi la Bunge la Morocco limependekeza mswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi yenye malipo.
Katika kile ambacho kitakuwa sheria ya aina yake kwa eneo la Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika, pendekezo la kikundi cha haki za kijamii cha shirika la Bunge la Morocco...
Wanabodi,
Serikali inatumia jitihada kubwa sana kujenga vituo vya afya na kuhakikisha kwamba huduma hizi zinawafikia wananchi katika sehemu tofauti tofauti. Nakubali kwamba kuna umuhimu wa kuwa na miundombinu nchini lakini hilo ni jambo la kwanza tu. kinacho fuata ni kuhakikisha kwamba wananchi...
Usafirishaji ni kitendo cha kutoa bidhaa au kupeleka watu kutoka sehemu moja hadi nyingine, kitendo hicho kinaweza kufanywa kwa kutumia njia mbalimbali za usafiri( mode of transport) kama kwa njia ya maji,barabara,reli, na anga
Usafirishaji ndio tendo pekee ambalo humaliza machakato mzima wa...
Kati ya mashirika yaliyotakiwa kua makubwa ni TTCL lakini unaweza kwenda pale kutaka huduma ukapatiwa huduma baada ya wiki 3 ama mwezi 1.
Shirika limekua likihujumiwa kisiaasa watendaji wanaowekwa pale wako Political Oriented zaidi kuliko Business Oriented.
Tukumbuke ndio shirika lenye mtandao...
SUKITA lilikuwa shirika la kukuza Uchumi na Kilimo nchini. Kwa 100% lilimilikiwa na Chama.
Kutokana na ukosefu wa Ajira ni wakati sasa lifufuliwe ili utekelezaji wa ilani uendane na vitendo.
Habari za wasaa wakuu.
Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao .
Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote .
1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
Tunakwenda vizuri.
Kenya Power will start offering fixed internet services by June next year in a shift that will put it in competition with telcos and trigger fresh price wars in the battle for the market.
The State-owned power utility has been piloting the fixed internet provision to a...
Habari nilikua naomba kwa mwenye ufahamu juu ya hili shirika la ICAP au hata yule ambae kashawahi kufanya nao kazi kuhusu mchakato wao wa ajira unakuaje ili anipe kidogo mwangaza.
Walitangaza nafasi na deadline ishapita lakini bado hatujui kama wako kwenye mchakato wa kuita watu kwa usaili au...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo.
Najua nafasi za kujitolea hazinaga mshahara ila baadhi ya mashirika au taasisi huwa wanatoa walau pesa ya nauli na chakula
Je kuna mtu yeyote humu kashawahi kujitolea kwenye hili shirika la MDH
Mana ingawa hakuna mshahara ila ni vyema nikajua kama wanatoa walau...
Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL.
=====
Polisi Dodoma...
Shirika la Reli kwa kweli ambalo ni shirika mama kwenye sekta ya usafirishaji linatia aibu.
Shirika lina MATITI kila kona, getini na ndani ya train lakini cha kushangaza uendeshaji wake hauridhishi hata kidogo.
Viongozi wapo, wabunge wapo, mawaziri wapo hawayaoni haya? Wanafanyaga ziara za...
Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu....
FSB wameanza kutisha familia zao wawashawishi warudi, la kushangaza kunao wametorokea Ukraine kule ambapo kichaa Putin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.