Amani ya M/Mungu iwe nanyi.
Ebanae, binafsi mimi mtoa Mada najua na natambua kuwa wewe member mwenzangu wa JF mpaka kufikia hapo ulipo hakika umepitia na umeona mengi katika maisha yako, na katika hayo yapo yenye kifurahisha na yenye kuhuzunisha pia.
Sasa hebu shiriki (share) na wenzako jambo...