Share short sad story iliyowahi kuutokea au uliyoshuhudia kwa rafiki, jirani au ndugu

The silent smile

Senior Member
Joined
Jul 17, 2025
Posts
124
Reaction score
206
Amani ya M/Mungu iwe nanyi.

Ebanae, binafsi mimi mtoa Mada najua na natambua kuwa wewe member mwenzangu wa JF mpaka kufikia hapo ulipo hakika umepitia na umeona mengi katika maisha yako, na katika hayo yapo yenye kifurahisha na yenye kuhuzunisha pia.

Sasa hebu shiriki (share) na wenzako jambo lililowahi kukuhuzunisha kwa kukutokea wewe au mtu/watu wako wa karibu au ulilishuhudia tu mahali ktk mizunguko ya kimaisha kiasi likakaribia/likakutoa mchozi 🥲.

Lengo langu sio kukukumbushia maumivu yaliyopita, ila najaribu kufikiria, huenda muda huu kuna binadamu mwenzetu anapitia hali kama ulowahi kuipitia wewe, na huenda anakaribia kukata tamaa na hata kujidhuru lakini pindi atakapoona na kusoma short sad story yako inayofanana au inayoizidi yake itampa nguvu na kujiona kuwa yeye sio wa kwanza kukutwa na hali alonayo na atajawa na ujasiri kuwa litapita na sio mwisho wa maisha.💪

👇👇 Karibuni kwenye comment.
 
Sad strory jana nimeona video ya askari nadhni TISS yule kwny ziara ya rais Mbeya...kaanguka kama furushi then kakakamaa sijui atakua amepata kiharusi yule...yani duu na alivyokua mrefu nadhani atakua kaumia vibaya...
Yani watu wanatembea na magonjwa jamani...
Huyu ni wa pili kuna siku askri wa kike nae akalegea akataka kuanguka wakamsogeza nyuma alikua kasimama..
 
Itakua njaa
 
Mada nzuri sana:Nikiwa na miaka 26 nilioa mwanamke niliyempenda Toka udogoni,Tulianza maisha na kubahatika mtoto wa kiume.Ilipofika mwaka tuu ,mwezi ulele ule aliozaliwa mtoto akafariki!Tukaa na mke wangu,tukabahatika kupata mtoto Mwingine wa kiume, nae alipotimiza mwaka,mwezi uleule aliozaliwa akafariki!Hatukukata tamaa!Tukaendelea na maisha.Akapata mimba Tena!Akiwa na mimba,Mke akaugua pressure ya kushuka!Ikiwa mimba ya miezi6,mke nae akafariki na mimba!Kama unavyojua Binadamu walisema mengi hata wengine kudiriki kunisema hadharani kuwa Nina Ngoma na kuninyanyapaa! MUNGU kwa kweli yupo na ni Mwema sana ukimtegemea na kumuamini!Nilioa na Nina watoto Tena wa kike watupu5!Ni vipuri kichwani balaa!Hao wengine walionisema,wao ndio wanangoma .
Funzo:Hakuna kukata tamaa,Amini Mungu yupo pia usicheke watu wanaopitia magumu kwa vyovyote .Yatakurudia mwenyewe.
 
Duuh why walikua wanakufa? Inawezekana kabisa mkeo damu yako na yake haikua ina match...
 
Nahisi mkeo alikua na makango, afu walichelewa kumkata, hadi yakawa yamekomaaa.

Ungekua nayo wee, usingejaliwa mtoto kamweee.
 
Hebu nifafanulie mkuu, maana tulipima ukimwi,tukawa hatuna wote,shida Nini?Nimebaki na maswali kichwani hadi Sasa Toka 2001.
 
Duuh why walikua wanakufa? Inawezekana kabisa mkeo damu yako na yake haikua ina match...
Ina maana huyu profesa wa magonjwa hakujua Hilo?tulienda kupima hadi huyu anasema mtoto akizaliwa tuende kwenye hiyo hospital,ndio Bahati mbaya akafariki na mimba hiyo!
 
Sad News nyingine ni Jamaa yangu mmoja, Tulianza nae kazi mwaka 1996, Alistaafu kwa ugonjwa mwaka Jana na kulipwa hela Nyingi tuu,Mimi niliachishwa kazi na nikaenda mahakamani na kushinda!Nilikuwa si kama nilvyotarajia!Huyu jamaa yangu walimlipa hela Nyingi sana Cha kusikitisha,alipofuka macho kwa kisukari na bank Hawezi Kwenda!Kwa pressure ya kuugua huko imepelekea kafariki!Mkewe na ashukuriwe sana, maana alihangaika nae mumewe bila kuchoka!
Ujumbe:Wema Bado wapo hasa Kwa akina Mama na kina dada.
 
Sad strory jana nimeona video ya askari nadhni TISS yule kwny ziara ya rais Mbeya...kaanguka kama furushi then kakakamaa sijui atakua amepata kiharusi yule...yani duu na alivyokua mrefu nadhani atakua kaumia vibaya...
Yani watu wanatembea na magonjwa jamani...
Huyu ni wa pili kuna siku askri wa kike nae akalegea akataka kuanguka wakamsogeza nyuma alikua kasimama..
Duuh, kuna baadhi ya kazi hazinaga hapana, kauli yao ni NDIO MKUU, yaan haijalishi hujisikii vyema hyo siku au laa. Tumuombee naamin atakuwa salama
 
Amani ya M/Mungu iwe nanyi. Ebanae, binafsi mimi mtoa Mada najua na natambua kuwa wewe member mwenzangu wa JF mpaka kufikia hapo ulipo hakika umepitia na umeona mengi katika maisha yako, na katika hayo yapo yenye kifurahisha na yenye kuhuzunisha pia. Sasa hebu shiriki (share) na wenzako jambo lililowahi kukuhuzunisha kwa kukutokea wewe au mtu/watu wako wa karibu au ulilishuhudia tu mahali ktk mizunguko ya kimaisha kiasi likakaribia/likakutoa mchozi 🥲. Lengo langu sio kukukumbushia maumivu yaliyopita, ila najaribu kufikiria, huenda muda huu kuna binadamu mwenzetu anapitia hali kama ulowahi kuipitia wewe, na huenda anakaribia kukata tamaa na hata kujidhuru lakini pindi atakapoona na kusoma short sad story yako inayofanana au inayoizidi yake itampa nguvu na kujiona kuwa yeye sio wa kwanza kukutwa na hali alonayo na atajawa na ujasiri kuwa litapita na sio mwisho wa maisha.💪 👇👇 Karibuni kwenye comment.

Nina rafiki yangu wa kike pia ni workmate siku moja tupo lunch akaanza kunisimulia....

Akaanza kwa kusema nimemkumbuka sana mdogo wangu albert (jina fiche), nikamuuliza kwanini?, akasema albert alikuwa kijana mpole na lastborn kwenye familiayetu ya watoto sita, aliokoka mapema sana na alimpenda sana Mungu , teka akiwa na miaka 13-20 alijawa na hofu ya Mungu.

Matokeo yake ya form four hayakuwa mazuri sana hivyo ilibidi aende chuo kwaaajili ya kujiendelezanako huko aliendeleza msimamo wake thabiti wa kushika dini, hatimaye akamaliza chuo mimi dada yake nikamtafutia kazi na hapo ndo kazi ikaanza, baada ya kudumu miaka miwili kazini akaanza tabia ya kubeti dah..... akaanza kulia huku akisema " mdogo wangu aliharibikia hapo" tuylijitahidi kumshauri sana aache lakini tabia ikawa chronic , akipewa kazi hata ya kusimamia ujenzi wa nyumbani hela yote anaweka mkeka na bdo akawa hafanikiwi... dah albert.. sijui nani alikuloga mdogo wangu.

mama mzazi alifanya kila juhudi mpaka kuchukua udongo wake na kwenda nao songea kwenye kaburi la marehemu baba ili angalau kumnasua huko ila bado ilishindikana, , basi lija wazo moja tumpe bajaji ili aendeshe maana albert alikua mtundu sana hata gari alijifunza mapema sana akiwa na miaka 15 tuu, bajabi nayo ikaanza kusuasua mara hela alete mara asilete ya ni tafrani.

Mimi (huyo dada) nikatoa wazo kwanini albert asitafute mke aoe labda akili itakua..? wazo langu lilipokelewa vizuri na wanafamilia wote

kisanga kikaanza tena huko kwenye ndoa albert akiliwa huko kwenye kamari hasira zote kwa mke wake akaanza kuvuta bangi( japo hii tabia nahisi aliabza kabla ya kuoa) alikua mtu mkatili sana wanafamilia wakaanza kama kumpotezea na kutotaka kujua habari zake.

Albert yule kijana aliyekuwa mpole , mlokole kiongozi wa casfeta na vikundi vingine leo hii kawa mlevi mbwa , bajaji alinyang'anywa akawa hana mbele wala nyuma , mke alimkimbia kwasababu za tabia zake yani naumia sana

Siku moja nikasema ngoja nimpigie albert nimjulie hali maana mimi ndo nilibaki kama mshikaji wake, nikashangaa namba haipatikani, nikakaa kama wiki nikapiga tena namba haipatikani, nikasema off hii nitaenda mkoa x nikamsabahi mdogo wangu nijue abc zake na anamipango gani kwa baadae kumbe albert alikuwa kalazwa yupo hoi hospitali alianguka na pikipiki katika harakati za kujiokoa na majambazi waotaka kumpora pikipiki, nikamuuliza alipata wapi hiyo pikipiki? akasema 'itakuwa hizi za dayworker au mkataba kama alibahatika, nataarifa za ajali nilizipata kwa rafiki yake ambaye walipanga mtaa mmoja na mara nyingi hutumia simu yake kunitafuta

Alikuwa na majeraha mawili makubwa usoni na mguu wake wa kushoto ulikua umevunjika, alinoniona akaniita best umekuja akaanza kulia , nisamehe sana dada yangu na umwambie mama anisamehe pia nimekua kijana mkorofi sana hata nikawa naona aibu kuwatafuta, sasa nipo hapa sina msaada nasubiri kufa tuu,, rafiki yangu akaniambia nilihisi kufa ganzi nikiona hali ya mdogo wangu pale kitandani

Albert hakuchukua muda akatutoka , albert aliondoka akiwa na majuto na maumivu makali sana, ametuachia majonzi kama familia, mama mpaka leo anapata shida ya usingizi anastuka usiku anasema albert amerudi yupo nje halafu anaanza kulia, kwaheri mdogo wangu bye nitakumisi sana sana umeniacha dada yako mpweke sana nimenunua gari natamani ungekuwepo albert unifundishe ila ndo hivyo umelala haya bana.... aliishia hapo ile lunch mpaka leo naikumbuka

Familia ni kila kitu ndugu yako hata akiwa mkorofi msimtenge ipo siku mtahitaji huduma yake na yeye muda huo hatokuwepo na itakuwa majuto makuu kama ya huyu rafiki yangu

Ndagha fijho
 
daah ad nimepata simanzi moyoni
 
Mada nzuri sana:Nikiwa na miaka 26 nilioa mwanamke niliyempenda Toka udogoni,Tulianza maisha na kubahatika mtoto wa kiume.Ilipofika mwaka tuu ,mwezi ulele ule aliozaliwa mtoto akafariki!Tukaa na mke wangu,tukabahatika kupata mtoto Mwingine wa kiume, nae alipotimiza mwaka,mwezi uleule aliozaliwa akafariki!Hatukukata tamaa!Tukaendelea na maisha.Akapata mimba Tena!Akiwa na mimba,Mke akaugua pressure ya kushuka!Ikiwa mimba ya miezi6,mke nae akafariki na mimba!Kama unavyojua Binadamu walisema mengi hata wengine kudiriki kunisema hadharani kuwa Nina Ngoma na kuninyanyapaa! MUNGU kwa kweli yupo na ni Mwema sana ukimtegemea na kumuamini!Nilioa na Nina watoto Tena wa kike watupu5!Ni vipuri kichwani balaa!Hao wengine walionisema,wao ndio wanangoma .
Funzo:Hakuna kukata tamaa,Amini Mungu yupo pia usicheke watu wanaopitia magumu kwa vyovyote .Yatakurudia mwenyewe.
Aisee pole sana swahiba, ulipitia nyakati ngumu sana ila hakuna mtihani unaokupata
Sad News nyingine ni Jamaa yangu mmoja, Tulianza nae kazi mwaka 1996, Alistaafu kwa ugonjwa mwaka Jana na kulipwa hela Nyingi tuu,Mimi niliachishwa kazi na nikaenda mahakamani na kushinda!Nilikuwa si kama nilvyotarajia!Huyu jamaa yangu walimlipa hela Nyingi sana Cha kusikitisha,alipofuka macho kwa kisukari na bank Hawezi Kwenda!Kwa pressure ya kuugua huko imepelekea kafariki!Mkewe na ashukuriwe sana, maana alihangaika nae mumewe bila kuchoka!
Ujumbe:Wema Bado wapo hasa Kwa akina Mama na kina dada.
dahh, Apumzike mahala pema huko alipo. Polen sana. Naafiki WEMA WAPO.
 
Sad strory jana nimeona video ya askari nadhni TISS yule kwny ziara ya rais Mbeya...kaanguka kama furushi then kakakamaa sijui atakua amepata kiharusi yule...yani duu na alivyokua mrefu nadhani atakua kaumia vibaya...
Yani watu wanatembea na magonjwa jamani...
Huyu ni wa pili kuna siku askri wa kike nae akalegea akataka kuanguka wakamsogeza nyuma alikua kasimama..
Ndio hapo jiulize watu sensitive kwa rais sijui huwa hawapimwi afya mara kwa mara, hatukashifu lakini ile ki protocally ni udhaifu mkubwa sanaa, unakuaje na watu wa kumlinda rais na hata afya zao hazieleweki?
REcruitment mbovu mbovu za Tiss kuwekana wekana bila kuzingatia weledi.

Kama binadamu, namuombea Mungu amponye
 
Back
Top Bottom