The silent smile
Senior Member
- Jul 17, 2025
- 124
- 206
- Thread starter
- #21
Dahh, so sad🥲Nina rafiki yangu wa kike pia ni workmate siku moja tupo lunch akaanza kunisimulia....
Akaanza kwa kusema nimemkumbuka sana mdogo wangu albert (jina fiche), nikamuuliza kwanini?, akasema albert alikuwa kijana mpole na lastborn kwenye familiayetu ya watoto sita, aliokoka mapema sana na alimpenda sana Mungu , teka akiwa na miaka 13-20 alijawa na hofu ya Mungu.
Matokeo yake ya form four hayakuwa mazuri sana hivyo ilibidi aende chuo kwaaajili ya kujiendelezanako huko aliendeleza msimamo wake thabiti wa kushika dini, hatimaye akamaliza chuo mimi dada yake nikamtafutia kazi na hapo ndo kazi ikaanza, baada ya kudumu miaka miwili kazini akaanza tabia ya kubeti dah..... akaanza kulia huku akisema " mdogo wangu aliharibikia hapo" tuylijitahidi kumshauri sana aache lakini tabia ikawa chronic , akipewa kazi hata ya kusimamia ujenzi wa nyumbani hela yote anaweka mkeka na bdo akawa hafanikiwi... dah albert.. sijui nani alikuloga mdogo wangu.
mama mzazi alifanya kila juhudi mpaka kuchukua udongo wake na kwenda nao songea kwenye kaburi la marehemu baba ili angalau kumnasua huko ila bado ilishindikana, , basi lija wazo moja tumpe bajaji ili aendeshe maana albert alikua mtundu sana hata gari alijifunza mapema sana akiwa na miaka 15 tuu, bajabi nayo ikaanza kusuasua mara hela alete mara asilete ya ni tafrani.
Mimi (huyo dada) nikatoa wazo kwanini albert asitafute mke aoe labda akili itakua..? wazo langu lilipokelewa vizuri na wanafamilia wote
kisanga kikaanza tena huko kwenye ndoa albert akiliwa huko kwenye kamari hasira zote kwa mke wake akaanza kuvuta bangi( japo hii tabia nahisi aliabza kabla ya kuoa) alikua mtu mkatili sana wanafamilia wakaanza kama kumpotezea na kutotaka kujua habari zake.
Albert yule kijana aliyekuwa mpole , mlokole kiongozi wa casfeta na vikundi vingine leo hii kawa mlevi mbwa , bajaji alinyang'anywa akawa hana mbele wala nyuma , mke alimkimbia kwasababu za tabia zake yani naumia sana
Siku moja nikasema ngoja nimpigie albert nimjulie hali maana mimi ndo nilibaki kama mshikaji wake, nikashangaa namba haipatikani, nikakaa kama wiki nikapiga tena namba haipatikani, nikasema off hii nitaenda mkoa x nikamsabahi mdogo wangu nijue abc zake na anamipango gani kwa baadae kumbe albert alikuwa kalazwa yupo hoi hospitali alianguka na pikipiki katika harakati za kujiokoa na majambazi waotaka kumpora pikipiki, nikamuuliza alipata wapi hiyo pikipiki? akasema 'itakuwa hizi za dayworker au mkataba kama alibahatika, nataarifa za ajali nilizipata kwa rafiki yake ambaye walipanga mtaa mmoja na mara nyingi hutumia simu yake kunitafuta
Alikuwa na majeraha mawili makubwa usoni na mguu wake wa kushoto ulikua umevunjika, alinoniona akaniita best umekuja akaanza kulia , nisamehe sana dada yangu na umwambie mama anisamehe pia nimekua kijana mkorofi sana hata nikawa naona aibu kuwatafuta, sasa nipo hapa sina msaada nasubiri kufa tuu,, rafiki yangu akaniambia nilihisi kufa ganzi nikiona hali ya mdogo wangu pale kitandani
Albert hakuchukua muda akatutoka , albert aliondoka akiwa na majuto na maumivu makali sana, ametuachia majonzi kama familia, mama mpaka leo anapata shida ya usingizi anastuka usiku anasema albert amerudi yupo nje halafu anaanza kulia, kwaheri mdogo wangu bye nitakumisi sana sana umeniacha dada yako mpweke sana nimenunua gari natamani ungekuwepo albert unifundishe ila ndo hivyo umelala haya bana.... aliishia hapo ile lunch mpaka leo naikumbuka
Familia ni kila kitu ndugu yako hata akiwa mkorofi msimtenge ipo siku mtahitaji huduma yake na yeye muda huo hatokuwepo na itakuwa majuto makuu kama ya huyu rafiki yangu
Ndagha fijho
Dah, so sad 🥲Nina rafiki yangu wa kike pia ni workmate siku moja tupo lunch akaanza kunisimulia....