Habari za wakati huu, wana JamiiForums.
Ningependa kupata maoni ya wamiliki wa biashara, hasa wanaofanya biashara ya magari, vifaa vya ujenzi, na biashara nyingine kuhusu matumizi ya websites katika kukuza biashara zao.
Katika biashara ya sasa, wateja wengi hutafuta bidhaa kupitia Instagram...
Hakuna kosa lolote kisheria mtu kuwa na Yard ya magari kama kafuata utaratibu. Hizi akili za Chalamila ni za kurudisha nyuma maendeleo.
Kusema litafutwe eneo la kujengea yards ni kauli ya kisiasa inayopaswa kupuuzwa. Watu washawekeza na wanalipa kodi halafu uwatoe tena sehemu walipo huoni kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.