Zunguka kote!
Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume!
Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
Wanabodi,
Tofauti na muonekano wa wengi, nina dhubutu kusema kwamba miradi ya kimkakati ya serikali, ina mchango mdogo sana kwenye kukuza uchumi wa nchi na kuleta maendeleo ya kudumu. Sio jambo ngeni Kwa nchi ya Tanzania kuhusishwa na umasikini duniani na kwasababu hiyo ni vyema kwa jambo hili...
Wakati wananchi wakijitokeza kupiga kura katika maeneo mbalimbali kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, baadhi ya shughuli ikiwemo wafanyabiashara kufunga maduka yao, kupisha upigaji kura unaoendelea kote nchini.
Sehemu mbalimbali za biashara ikiwemo maduka mengi kuchelewa kufunguliwa...
Kuna mafundi niliwasikia wakizungumzia hilo suala kuwa Toyota Dyna na Toyoace sio imara na zina shida nyingi,
Je ni kweli DYNA na Toyoace sio gari nzuri kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 na zaidi?
Je, mafundi wapo sahihi au ni wapotoshaji?
Je wajuzi wa magari mnashauri gari gani...
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo...
Africans, we are poor, lakini we are acting rich.
Kwamba unaogopa kusemwa?
Unaogopa kuitwa masikini?
Unaogopa lawama za kutoarika watu?
Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea?
Au ndio njia mbadala ya kupatia pesa za michango kujiboost maisha kidogo?
Muda mwingine hadi tunageuka kero pale...
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na...
Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu,
Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari zote sita, migazi ni mti unaotoa mafuta ya mawese, pamoja na mafuta ya mise, mafuta yanayotumika...
17 October 2024
Geneva, Switzerland 🇨🇭
KIKAO BUNGE CHA 149 CHA IPU (Inter Parliamentary Union) CHAMALIZA SHUGHULI ZAKE GENEVA, RAIS DR. TULIA ATOA HOTUBA
https://m.youtube.com/watch?v=LAYwfFWdwDI
Mabibi na Mabwana nawashukuru sana , Hakika mambo ndani ya bunge yalikuwa moto, pia mgawanyiko...
Tuwe wakweli na serikali pamoja na wadau wengine tutoke kwenye blanketi la unafiki inajulikana wazi kwamba mahali popote ambapo matokeo ya uchaguzi yanatabirika, hakunaga ari ya ushindani.
Watu huona kwamba hakuna sababu ya kwenda kupangishwa foleni na kupigishwa kura wakati hata mshindi...
CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka
kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi
Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na...
Umekuja kwenye msiba ama harusi ama shughuli yoyote nyumbani watu tushashiba tushakunywa we usiku unaanza kutuuliza eti nilale wapi? Tafuta sehemu yoyote ulale sio unataka kugombania vitanda.
Salaam
Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki.
Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu wanaingia na ndala, hawana gloves yaani kikubwa tu keki ziive.
Ushauri kwa mabwana afya na maafisa...
Hahaha mwamba anasema tangu kipindi cha Daudi na Solomon hadi sasa Israel wanatumia majini na sayansi ya nyota katika harakati zao za Kivita.
Msikilize zaidi katika video.
Mkuu wa Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Mhe.Faudhia Ngatumbura amesitisha shughuli za ibada katika baadhi ya makanisa Wilayani Meatu mpaka Makanisa hayo yatapokuwa yamejenga vyoo ili kuwanusuru Wananchi kuugua ugonjwa hatari wa Kipindupindu.
Amezitaka Taasisi Dini Wilayani Meatu kuwa Mfano wa...
Mwanajeshi mstaafu ni askari wa akiba mpaka kifo, ana kiapo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Majeshi, muda wowote anaweza kupewa amri afanye shughuli za kijeshi. Vinginevyo anahesabika muasi.
Nimeona wanajeshi wenye mafunzo maalum waliofukuzwa au kustaafu Jeshi wanajihusisha na hicho chama...
Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) Maulid ya Mtume, leo Jumapili September 15,2024 kuamkia kesho September 16,2024 (Maulid...
Imeelezwa kuwa milango ambayo iling’olewa na Mkandarasi katika Kituo cha Afya cha Bulige, Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, ilirejeshwa na shughuli zinaendelea kama kawaida.
Awali Mkandarasi aling’oa milango kwa madai ya kuwa hajalipwa gharama za kazi yake kutoka kwa Ofisi ya Mkurugenzi, Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.