Viongozi ni reflection ya sura ya wananchi. Yaani kwa lugha nyepesi ni kwamba ukitaka kufanya tafiti yoyote kuhusu wananchi usitumie gharama kubwa. Wewe angalia viongozi wao, vivyo ndivyo walivyo wananchi wao.
Hapo mkuu wa shule amepiga kelele kwa mkurugenzi au afisa elimu anapigwa danadana tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.