Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Viongozi ni reflection ya sura ya wananchi. Yaani kwa lugha nyepesi ni kwamba ukitaka kufanya tafiti yoyote kuhusu wananchi usitumie gharama kubwa. Wewe angalia viongozi wao, vivyo ndivyo walivyo wananchi wao.
Hapo mkuu wa shule amepiga kelele kwa mkurugenzi au afisa elimu anapigwa danadana tu
Karne hii mtoto wa primary anajisaidia kama mjusi.
Nchi ambayo ina maziwa makubwa zaidi ya 3, nchi ambayo ina bahari from north to south, nchi ambayo ina maelfu ya wachina wamesambaa Tanzania yote wanachimba madini.
Tunasubiri COVID-19 ilipuke ili tupate msaada wa vyoo.
Nchi ambayo matajiri ndani ya masaa 3 tu wanachanga mabilioni kwaajili ya chama cha siasa.
Miezi michache iliyopita Wizara ya Afya ilitangaza ongezeko la mlipuko wa COVID-19 kwa % nyingi kuliko miaka yote ilihali mtaani kuko shwari ili tu wapate pesa za msaada.
Pia soma ~ Halmashauri ya Nyansa yasema "Vyoo vya Shule ya Msingi Lima kwa sasa vimekarabatiwa na kusafishwa vizuri kwa ajili ya Wanafunzi"