Kuna jambo ambalo linaendelea hapa kwenye Shule ya Msingi Bunge iliyopo Kata ya Kivukoni, Mtaa wa Shaaban Robert, ndani ya Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam, Wanafunzi zaidi ya 30 wa Darasa nne ambao inadaiwa hawajakamilisha malipo ya michango mbalimbali wamezuiwa kuingia darasani kusoma tangu...
Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.
Eneo potential la kuweka investments za maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.