Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.
Eneo potential la kuweka investments za maana...