Watu wengi wamekua wakiota wako shule za msingi walizosomaga na wako hawajui maana yake
Tafsiri yake ni kwamba ukiota uko shule ya msingi maana yake kuna HBO unataka kufanya halina msingi mzuri
Mfano kuna MTU anataka kuoa ghafla usiku anaota yuko shule ya msingi, anajaribu kuambiwa msingi wako...