Shule ya msingi Ilangu. Iliyopo katika kata ya Ilangu wilayani Tanganyika inakabiliwa na upungufu wa walimu pamoja na vyumba vya madarasa.
Siyajali Odasi ambae ni Makamu Mwenyekiti wa kijiji hicho amesema kuwa shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya mia tisa (900) iliyopo kijijini kwake ina walimu...
Wakuu Kwa mujibu wa Mkuu wa Shule hii, Hii Shule ina madarasa ambayo hayakidhi mahitaji kabisa.
Shule iko katika manispaa ya jiji la Mwanza, ina eneo kubwa tu ambalo wangeweza kuongeza madarasa matatu ama manne kabisa ambayo yangekidhi mahitaji ya shule.
Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi.
1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza.
2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau.
Hasara tunazopata
1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya...
Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university.
Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule direct, mtabe wala smartclass.
Nilikuwa nawaza kuwa na app ya kuuza vitabu ila nikaona bado utamaduni...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Juma Salumu maarufu ‘Juma Kipanya’ ambaye ni mganga wa kienyeji mkazi wa Manispaa ya Lindi kwa tuhuma za kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 15 Wilayani Lindi.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Foka Dinya...
Salamu kwenu ndugu.
Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka.
Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi.
Hivi hasa ni...
Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini...
Kituko ninachokikumba ni cha rafiki yangu wa shule ya msingi Theresia, yeye alikuwa anaishi karibu na shule lakini alichokuwa anakifanya anaamka mapema anakuja nyumbani kunifuata kisha tunaenda tena shule na adhabu ya kuchelewa tunapewa pamoja,"- Belle 9
"Halafu mimi nilikuwa kichwa kuliko...
Maji yanapatikana hivi sasa shule ya msingi Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanafunzi wanaishukuru Serikali Kwa kuwapatia maji ila vyombo vya habari Kwa kuripoti tukio hilo.
WANAFUNZI wa msingi Endiamtu, Kata ya Endiamtu, Mji mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara...
Shule ya Msingi Benako haina Maji Wiki Ya 3 baada ya Kukatiwa Maji Na Dawasco kwa deni La 200,000.
Shule hii inapatikana maeneo ya Salasala Kata ya Wazo, Jimboni Kawe Jijini Dar es Salaam.
Taarifa zilizopo ni kuwa muda wa wiki 3 sasa maji shuleni hapo hayapatikani hali inayotishia afya za...
Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani?
Ufaulu div 3.13 HGK
Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
Nimesikitishwa sana na taarifa za kuungua kwa soko la Kariakoo.
Hasara iliyopatikana ni kubwa mno, haswa ikizingatiwa kuwa wafanyabiashara wetu hawana elimu ya kutosha ya bima, hivyo huwa hawakati bima, ni wachache Sana wenye kufanya Jambo hili.
With wangu kwa serikali hasa wizara ya elimu...
Wanafunzi zaidi ya 400 wa shule ya msingi Ifwagi, iliyopo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, wapo hatarini kuugua magonjwa ya kuhara kutokana na shule hiyo kukabiliwa na changamoto ya vyoo, hali inayowalazimu baadhi yao kujisaidia ovyo vichakani.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa atoa majibu, soma hapa...
Wakuu naomba kujuzwa kuhusu shule tajwa hapo juu. Naomba kujua ipo umbali gani toka Kibiti mjini na mambo wawili matatu kuhusu shule hiyo. Mtu atalajie nini na ajiandae na nini. Kijana wangu amepangwa kufundisha hapo. Shukran sana.
Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi.
Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani mfadhili wa shule hiyo alikuwa Prof Kapuya ambaye kwa sasa hawajamuona kabisa.
My take; Jaffo alikuwa...
Wadau,
Kwa unyenyekevu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote anayejua shule yoyote ya msingi ya Kikristo iliyoko katika maeneo ya Goba, Mbezi au Madale, Kunduchi, au Mbezi Beach. Kama unafahamu shule ya namna hii iliyoko eneo lolote jingine Dar es Salaam. Naomba pia kufahamishwa ingawa kipaumbele...
Wakuu Nina wadogo zangu watatu,nimejikaza niishi nao na niwasomeshe kwa kila hali ingawa sina kitu.lakini shule ya msingi waliyopo wazazi tuliambiwa waalimu ni wachache(sikuwepo kikaoni)
Hivyo ikapangwa kila mwezi,kila mzazi alipie Tsh 1000 wameletwa waalimu ambao tuliambiwa hawajaajiriwa wawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.