Wanafunzi wa Shule ya Msingi Namalombe wilaya ya Nanyumbu mkoa wa Mtwara na Mwalimu mkuu wao Bwanaheri Akili wameiomba serikali kuwajengea madarasa kwani kwasasa wanapata shida kusomea chini ya mkorosho kama darasa, kutokana na shule hiyo kuwa na darasa moja tangu ilipoanzishwa mwaka 2014...
Wakuu salaam kwenu,
Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameliagiza Jiji la Dodoma chini ya Mkurugenzi wake Joseph Mafuru kuifanyia ukarabati Shule ya Msingi Nkuhungu pamoja na kuhakikisha inafikisha ufaulu wa asilimia 100 kwenye matokeo ya mitihani ya darasa la nne.
Jafo ametoa kauli hiyo leo...
Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali.
Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni.
Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
Mwalimu mama mmoja anamacho makubwa aliitwa Iganas.
Alikuwa Mwalimu wa hesabu darasa la sita.
Alikuwa anafundisha kisha anauliza kuna mtu hajaelewa kinafiki na kwa hofu wote tunasema hapana.
Anatoa swali kupima uelewa, kila anayekosa anararuliwa fimbo sio chini ya Tatu za mgongo.
Nilikuwa...
Wakuu Salaam;
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefuta mtaala wa ualimu wa ngazi ya cheti kwa elimu ya awali na msingi ikiwa ni hatua ya kuboresha elimu nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Naibu Katibu Mkuu wizara hiyo, Dk Ave Maria Semakafu amesema hatua hiyo inakwenda...
DODOMA: MWALIMU MKUU MBARONI KWA TUHUMA ZA RUSHWA ILI KUTOA CHETI
Mwakangale Mangongose mwalimu mkuu wa shule ya msingi Karume, kata ya Kibaigwa Wilayani Kongwa anatuhumiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU kwa rushwa ya Tsh 55,000
Mwalimu huyu anatuhumiwa kupokea hela hiyo...
Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera.
Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando.
Maendeleo hayana vyama!
Ujumbe huu uwafikie Mkurugenzi Mtendaji (DED) Bwn. Lutengano Mwalwiba na Afisa Elimu Msingi (DEO) Bi. Glory Mtui; wote wakiwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya MAGU.
Kuhusu mada iliyobeba ujumbe huu ni kwamba, watoto wanaosoma Magu Shule ya Msingi iliyoko Magu Mjini wako hatarini tangu...
Heshima kwenu wanajamvi.
Naomba nwenye kujua shule nzuri ya msingi ya kutwa / day kumwanzisha mtoto darasa la kwanza. Shule iwe Dar Es Salaam maeneo ya Mbezi beach au Goba au maeneo ya jirani, ikiwa ya kikristo itapendeza. Ada isiyozidi milioni 4 kwa mwaka.
Shukrani
JESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia mwalimu Evata Mboya,wa shule ya msingi Mwendapole,Kibaha, kwa kosa linalodaiwa ni kumshambulia kwa fimbo mwanafunzi na kumsababishia maumivu makali ya kichwa.
Mwanafunzi huyo wa darasa la tano ,miaka 12 ,walipewa adhabu ya kuchapwa fimbo na wenzake...
Ndoto yangu ya kusoma degree yangu ya kwanza Mlimani ilianza nikiwa shule ya msingi.
Nilikua nikisikia tu story kutoka kwa dingi akisimulia mandhari na elimu ya pale Mlimani pindi wanasoma.
Basi ndipo nilipoanza kupiga kitabu kwa bidii ili nifike Mlimani. Hapo ilikua ni shule ya Msingi...
Habari zenu wanabodi,
Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza
1. Olympio - Dar Es Salaam
2. Diamond - Dar Es Salaam
3. Magufuli -...
Zaidi ya miaka 40 shule hii ya msingi Mpakani iliyopo kata ya Mabibo mkoa wa Dar es Salaam kujengwa chini ya nyaya za umeme mkubwa wa gridi ya Taifa hali inayohatarisha maisha ya wanafunzi, maana nyaya ikikatika lazima maafa makubwa yatokee
Simu za nyuma Tanesco walivunja nyumba zilizopo ndani...
Igweeeeeeee
Kuna dada mmoja ni rafiki yangu nimesoma nae masomoni china alikuwa na boy friend wake mwalimu wa shule yamsingi.
Stori iko hivi wadau mwalimu wa shule ya msingi amezaliwa mkoani tabora akiwa mtoto wa kwanza katika familia yao ya watoto wanne,Marehemu baba yake ni mstaafu wa katka...
Wadau corona ipo tuwe makini kwa kufuata maelekezo ya watalamu wa afya.
Nije kwenye Mada. Shule zimefunga tarehe 17 Machi kutokana na hali halisi kwamba watoto watulie home, nmeamua kuwapiga vipindi mwenyewe. Kabla ya hapo niliwataka wajisomee wenyewe. Nilipowataka walete daftari zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.