shule ya msingi

  1. Kalebejo

    Mwanza: Michango shule ya msingi Kilimahewa tishio

    Kwanza Kabisa nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya shule za msingi nchini lakini ninachotaka kusema ni kuwa waziri wako wa elimu ameshindwa kabisa kufikia matamanio yako ya kuona watoto wa watanzania wanyonge wanapata elimu bora kama watoto wao...
  2. B

    Benki ya CRDB yakabidhi madarasa mawili shule ya msingi Chuda, jijini Tanga

    Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Hawa Msuya (wapili kushoto) kwa pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tanga, January Kilambata (wapili kulia) wakibadilishana hati ya makabidhino ya madarasa mawili kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalumu wa Shule ya Msingi Chuda, jijini Tanga leo...
  3. BigTall

    Arusha: Wanafunzi Shule ya Msingi Unga Limited wakaa chini kwa kukosa madawati

    Wanafunzi wanaosoma shule ya Msingi Ungalimited Jiji la Arusha wamelazimika kukaa chini kutokana na uhaba wa madawati huku uongozi ukidai ni kutokana na ukarabati wa vyumba vya madarasa unaoendelea katika shule hiyo kongwe. Hata hivyo Ofisa Elimu Msingi Jiji la Arusha,Hosseni Madengale amesema...
  4. Stephano Mgendanyi

    Ufafanuzi kuhusu nyumba ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Maweni, Igunga inayosambaa mitandaoni

    UFAFANUZI KUHUSU NYUMBA YA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI MAWENI, IGUNGA INAYOSAMBAA MITANDAONI Tarehe 20 Septemba 2021 nikiwa naendelea na Ziara ya Kijiji kwa Kijiji kwenye Jimbo la Igunga, Nikiwa na Wasaidizi wa Ofisi ya Mbunge na Waandishi wa Habari, tulifika Shule ya Msingi Maweni iliyopo...
  5. crome20

    Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real? Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae. Lakini Kama itakuwa sio...
  6. JaxenDL

    Rafiki wa shule ya msingi akumbushia stori hii mbele ya mchumba wake

    Akiwa darasa la 5 katika moja ya shule ya msingi huko Arusha Republic John alikumbana na tukio kuingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na wanafunzi wa darasa la 7 [wa kiume pia]. Baada ya kushtaki kwa mwalimu wa darasa kesi ilifika kwa mkuu wa shule, taratibu za uwajibishwaji zilifanyika kwa...
  7. peno hasegawa

    Prof. Mkenda, waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2023 kutoka shule ya msingi moja wote wamehamishiwa sekondari moja

    Mimi labda sijaelewa. Unakuta shule ya msingi A, ina wanafunzi 123 waliomaliza darasa la saba na wamafaulu wote kuingia kidato cha kwanza mwaka 2023. Cha kushangaza wanafunzi wote wa hiyo shule ya msingi A wamepangiwa shule moja tu ya sekondari iliyopo kwenye hiyo kata kujiunga na kidato cha...
  8. JanguKamaJangu

    Shule ya msingi yaweka rekodi ya kutofelisha hata mwanafunzi mmoja kwa miaka 10

    Shule ya Msingi Laalakir iliyopo Kijiji cha Partimbo, Kata ya Partimbo wilayani Kiteto Mkoani Manyara, imekuwa na matokeo ya alama "A" kwa miaka 10 mfululizo na kushika nafasi ya kwanza kiwilaya na kimkoa na haijawahi kufelisha mwanafunzi Wanafunzi waliofanya mtihani mwaka 2022 ni 36, kati ya...
  9. Titicomb

    Nini kinafuata baada ya shule ya msingi kufutiwa matokeo, hatima ya wanafunzi inakuaje?

    Shule ya msingi ikifutiwa matokeo au ikishikiliwa (withheld) matokeo kwa kosa la uongozi wa shule kufanya udanganyifu nini kinafuata ili watoto waweze kuchaguliwa kuendelea elimu ya upili( secondary)? ~ Watarudia mitihani? ~ Watapewa muda gani kujiandaa na mitihani? ~ Kuchaguliwa shule za...
  10. Kaji Bagome

    Afisa Elimu Msingi (W) Magu, rekebisha uongozi wa Shule ya Msingi Magu

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee, sawa; moja kwa moja kwenye Mada. DEO Msingi (W) Magu, napenda kukujulisha kwamba, uongozi wa Shule ya Msingi Magu umepwaya, kiasi kwamba mshikamano wa waalimu shuleni hapo haupo; waalimu wamegawanywa na Mwalimu Mkuu EZEKIEL NJALLA; kiasi kwamba...
  11. F

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

    Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita. Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza...
  12. JanguKamaJangu

    Mwalimu Shule ya Msingi atuhumiwa kumdhalilisha kisha kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano Pemba

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, litampandisha Mahakamani wakati wowote, Mwalimu skuli ya Msingi ya Madungu wilaya ya Chake chake Pemba, Ali Makame Khatib, akidaiwa kumchezea sehemu zake za siri na kisha kumbaka, mwanafunzi wake wa darasa la tano skuli hapo. Taarifa za Jeshi hilo...
  13. M

    KWELI Ukweli kuhusu mazingira ya Shule ya msingi Litingi, jimbo la Mtama

    Zimesambaa picha za Darasa chakavu lililojengwa kwa udongo katika mitandao mbalimbali. Baadhi ya wanaharakati wakidai kuwa darasa hilo ni la Shule ya msingi Litingi, kijiji cha Litingi, kata ya Nyangao, jimbo la Mtama. Ukweli upoje? Picha iliyosambaa mitandaoni ikidai kuwa ni darasa la Shule...
  14. MR LINKO

    Wengine walisema hii haifai kwa mwalimu wa shule ya msingi

    JE WEWE UNA MAONI GANI AU UNAFIKIRIA NINI?
  15. Boss la DP World

    Shinyanga: Basi la shule laua Mwanafunzi muda mfupi baada ya kumshusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Dereva wa gari la shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi wa shule hiyo Godlight Chisawilo (04) kwa kumgonga na gari la shule hiyo Mjini Shinyanga. Habari kutoka eneo la tukio zinasema mwanafunzi huyo...
  16. Google Diggers

    Ushauri: Mtendaji Kata na Mratibu Elimu Kata ya Kifuru(DSM). Kuhusu uzio Shule ya Msingi Kifuru, wafichieni aibu hawa Watoto na walimu wao

    Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha. Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
  17. Suley2019

    Kasi ya Wanafunzi shule ya msingi kukatishwa masomo kisa michango inaongezeka kila kukicha

    Salaam Wakuu Kumeibuka tabia za waalimu wa shule za msingi kuwarejesha watoto majumbani kisa hawajatoa michango mbalimbali ikiwamo ya mitihani, ulinzi na michango mingine. Kutokana na hali hii watoto wamekuwa wakitoka shule wanazunguka mitaani bila kuwa na shughuli maalumu ya kufanya...
  18. JanguKamaJangu

    Video: Mwalimu anayetuhumiwa Kulawiti, Kubaka Watoto wa Shule ya Msingi asomewa MASHITAKA 6 MAHAKAMANI

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Global International School iliyopo Mtaa wa Vijana, Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chacha Magere (26), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kubaka, kuwalawiti na kuwashambulia kwa aibu baadhi ya wanafunzi wake anaowafundisha. Jumla amesomewa...
  19. mwanamwana

    Marekani: Kijana aua watoto 19 wa shule ya msingi kwa kuwafyatulia risasi darasani

    Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo vya usalama kumthibiti na kufanikiwa kumuua na yeye pia. Seneta wa Jimbo hilo, Roland Gutierrez...
  20. itel Mobile Tanzania

    Itel Yaanzisha maktaba Shule ya Msingi Ubungo NHC

    Mwishoni mwa juma lililopita tulitembelea shule ya Msingi Ubungo NHC kwaajili ya kuweka nguvu zaidi ya kuendeleza elimu, sote tunafahamu serikali inafanya jitihada kubwa sana kuendeleza miundombinu ya elimu ikiwemo kujenga madarasa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watoto. Hivyo nasi...
Back
Top Bottom