MBUNGE MARY MASANJA AGAWA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA MSINGI MITINDO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja ameungana na viongozi wa Jumuiya ya UWT Misungwi katika zoezi la Ugawaji wa Magodoro na Mashuka kwa Wanafunzi wenye Mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Mitindo...
Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule ya Serikali kisa hajui kusoma wala kuandika.
Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya Serikali.
Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na...
Wasalaam.
Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kwa namna elimu yetu hapa bongo ilivyo na inavyoleta matokeo yasiyo tarajiwa kwa kundi kubwa la wasomi na vijana.
Nadiriki kusema kwa asilimia kubwa elimu ya Tanzania ina umuhimu mkubwa kwa shule ya msingi pekee( awali mpaka darasa la 7) ila sekondari na chuo ni kupoteza muda tu.
Elimu ya...
Uongozi wa Shule ya Msingi Mahenge B, Iliyopo Wilaya Ya Ulanga Inapenda Kutoa Shukruni kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru kwa Kuwa Mmoja wa Viongozi ambao Wamechangia kwa Namna Moja Au Nyingine Ujenzi wa Vyumba Viwili vya Madarasa na Ofisi ya Walimu wa Shuleni...
JIMBO LA KITETO: SHULE YA MSINGI KONGWE YA LENGATEI YATENGEWA MILIONI 145,772,640 UJENZI WA MADARASA 6 & MATUNDU 8 YA VYOO
Ndugu Wananchi Wenzangu wa Lengatei natambua uchakavu wa Madarasa na Miundombinu ya Shule yetu Kongwe ya Msingi Lengatei iliyoanzishwa 1970 ndani ya Jimbo la Kiteto kwani...
Nimekuwa nikijiuliza kwani kitambulisho maana yake ni nini? na kazi yake ni nini?, au vinatumika kwa baadhi tu ya watu na taasisi na sekta nyingine?. Wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari siku hizi hawana vitambulisho ama ni mimi sifatilii mambo? Yawezekana kwao sio muhimu kwa sababu wanavaa...
Ujumbe huu nimeukuta huko Duniani
Naomba utupazie sauti, kuhusu mtoto wetu Heri Severin Yagaza (11) ambaye anadaiwa kujinyonga shuleni. Heri alikua darasa la 5, shule ya msingi Triple A iliyopo mjini Tanga. Inadaiwa amejinyonga bwenini kwa kutumia shuka, siku ya jumatano saa 10 jioni.
Heri ni...
Wazee nendeni Shule ya Msingi Tumaini, ipo Kata ya Kimanga, Dar es Salaam kila siku kila Mwanafunzi wa Darasa la Saba anatakiwa atoe mchango Tsh. 800 na kwa siku ya Alhamisi wanachangishwa Tsh. 2,000 ya mtihani.
Pia soma:
Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule...
Wapenda wana Jamii Forums, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata elimu. Lakini pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu waliohitimu na wenye sifa...
Kama yote yaliyofundishwa mashuleni, hasa Shule ya Msingi, huenda haya yasingetokea:
1. Matumizi ya leso
Ni kawaida kwa baadhi ya watu, wanapopenga "kamasi", kutokkutumia leso. Bdala yake, hutumia mikono yao kuziba pua kidogo na kupuliza pia, " pwiii", kupuliza pembeni. Halafu maji maji...
Mwalimu anayefahamika kwa jina la Nkya mtumishi katika Shule ya Msingi Miririni iliyopo Wilayani Meru Mkoani Arusha anatuhumiwa kufanya ukatili kwa Mwanafunzi ambao umesababisha mkono wa kulia wa mtoto 'kupooza' hasa sehemu ya vidole.
Mwanafunzi aliyejeruhiwa ametambuliwa kwa jina la Milcah...
Prof. Sospeter Muhongo - Kila Shule ya Msingi/Sekondari Iwe na Maktaba/Maabara
Prof. Sospeter Muhongo Akiishauri Wizara ya Elimu, Sayansi & Teknolojia
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo ametoa ushauri kwenye uboreshaji wa ELIMU yetu.
Mbunge huyo ameelezea umuhimu wa...
Bado hali ya uchumi wa nchi yetu ktk sehemu kubwa ya taifa letu Wananchi hujishughulisha na kilimo na bado inasemekana uchumi wetu hutegemea kilimo.
Kwa kutofundishwa somo la kilimo ni tafsiri halisi kuwa hata Wananchi huko wanakolima hawatathamini kilimo na baadae wageni wawekezaji watakuja...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo.
Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya wavulana katika Shule ya Sekondari Ikuti kwa nyakati tofauti...
Ni ngumu kuzungumzia fasihi ya kiswahili bila kumzungumzia Mathias E. Mnyampala. Mnyampala alizaliwa mwaka 1917 huko Dodoma akiwa ni Mgogo. Baba yake alikuwa ni mfua chuma na alimiliki ng'ombe wengi ambao Mathias ndiye alikuwa mchungaji. Mwaka 1931. Akiwa kama na miaka 14-15 aliozwa mke...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema Februari 27, 2023 majira ya saa 02:00 usiku katika Mtaa wa Mwafute uliopo Kata ya Ilemi, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Mwanafunzi wa darasa la VI katika Shule ya Msingi Lyoto aitwaye IBRAHIM EDSON [12] alikutwa akiwa amefariki baada...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu, leo tarehe 07.02.2023 amezindua vyumba sita (06) vya madarasa katika Shule ya Msingi Kinyangwa iliyopo Kijiji cha Katunduru, Kata ya Ilima.
Mradi wa ujenzi wa vyumba hivyo umetekelezwa na Kampuni ya Bioland kupitia Mradi wa Cocoa for School kwa gharama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.