shule

  1. Nani alikwenda shule kuchukua cheti chake akakuta amewekewa Deni ambalo halifahamu?

    Wakuu Heshima mbele. Juzi nilikuwa natokea PWANI nikakumbuka kwamba sikuwahi kuchukua cheti changu cha kidato cha sita. Sasa nilikuwa na mama watoto, nikamwambia sababu muda umeenda kesho unisindikize shule nikachukue cheti changu, akasema tutakwenda. Basi tulilala mjini pale na asubuhi yake...
  2. Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

    Unamkuta mtu anajiita daktari, au nesi, au mwalimu, lakini hana umahiri wa kazi yake. Hajui anachokifanya wala hana hamasa katika kazi yake. Anasubiri kutafuna mshahara na kuchati WhatsApp huku watu wakimngojea. Unawezaje ukawa mwalimu na usijue kuandika? Nimepokea barua na ripoti ya matokeo...
  3. AHMED ALLY SHULE UKAFUTE UJINGA

    AHMED ALLY RUDI SHULE UKAFUTE UJINGA Anasema wamebakiza mechi 3 wakati bado mechi 4. Ligi yetu timu ziko 16, inamaana kila timu inatakiwa icheze jumla ya mechi 30. Ukiangalia kwenye msimamo wa ligi Simba ameshacheza mechi 26, inamaana amebakiza mechi 4 na sio 3 kama anavyosema msemaji wa Simba...
  4. Sheria ya makosa ya shule inasemaje mwanafunzi anapokamatwa na simu?

    Je, simu hiyo anapaswa kurudishiwa, au kuitaifisha au kufanya nini? Tafadhali nijibu kulingana na sheria inavyosema na sio kwa kuzingatia maadili.
  5. Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  6. Mpaka leo hii sijui kwanini mchezaji wa mpira nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 halafu mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh. Laki 3

    Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo. Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi) Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi . So katika taifa letu hili la...
  7. Biashara ya mifumo simamizi ya shule

    Ndugu zangu , Naitwa BOAZ SIMON BIGARAGU Niko iringa kwa sasa naomba kushare ujuzi wangu kwenu juu ya biashara ninayoifanya ya kuuza mifumo simamizi ya uendeshaji wa shule. Nina mifumo ya simamizi ya shule ya aina mbili, ninayo school management system kwa upande wa secondary na kwa upande wa...
  8. Tujikumbushe; Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani?

    Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
  9. Barabara ya maili moja shule kwenda sheli ya zamani( Morogoro road) -KIBAHA

    Habari, Mwezi uliopita mlilipoti kuhusu kuharibika kwa barabara hapa maili moja- kibaha, barabara ya kutoka mtaa wa maili moja shule kwenda kutokea Morogoro road mtaa wa sheli ya zamani,( Diwani-Ramadhani Lutambi -CCM, MB- Sylvester Koka - CCM. Yaani Hadi Leo hii 6 May 2024, hakuna chochote...
  10. Wanafunzi watatu wafariki kwa kukosa hewa wakati wanatoa mahindi kwenye kihenge cha shule, mwalimu aliwaacha na kwenda kunywa chai

    Wanafunzi sita wa shule ya mtakatifu John Paul II ya mkoani Shinyanga walienda kutoa mahindi kwenye kihenge cha shule lakini yalishindwa kutoka wakiwa na mwalimu wa zamu katika usimamizi wa chakula, mwalimu alielekeza wanafunzi watatu waingie ndani kutafuta namna ya kuyafungulia kisha akaenda...
  11. KKKT punguzeni ada za shule zenu ni michango ya waumini

    Ushainaa unatoa sadaka na michango kwa ajili ya ujensi wa shule lakini unashindwa kusomesha mwanao, Hii ndioo kichekeshoo kinachoendeleea yaan ada zao kama awataki mtu kusoma hapo. Ushauri tu kwa KKKT mkumbuke n michango ya waumini kuwafikisha hapo mlipo na aim ni kusaidia waumini wenu kama...
  12. Maelezo ya ndoto ambazo huota ukiwa shuleni

    Habari Nimekua nikipokea maswali mengi kuhusu ndoto ukiwa shule na leo ningependa kutolea ufafanuzi wa ndoto hizi kama ifuatavyo 1. Kwanza kabisa hizi ndoto hukupatia ujumbe jinsi mwili wako unavyoshambuliwa na nguvu za giza 2.Kadri changamoto zinavyokua nyingi shuleni ndivyo jinsi...
  13. Kwa Tanzania, wachekeshaji wengi wameenda shule kuliko waimbaji na waigizaji

    Ukiachana na 'wadudu', wachekeshaji wengi wameenda shule. Hii tasnia imeonekana kustawi vema miaka ya hivi karibuni. Ni katika kutelekeza kaulimbiu ya Serikali yetu ya kuwataka wasomi wajiajiri. Wasomi wetu baada ya kukosa michongo ya maana wameangukia kwenye vichekesho, wengine wakienda...
  14. M

    SoC04 Ujenzi/upanuzi wa madarasa mapya ya shule za kata kila mwaka na kubana maeneo ya michezo

    Naipongeza serikali kwa ujenzi wa shule za kata kwa nchi yetu ya Tanzania kila wilaya kwasasa wanafunzi wetu wanapofaulu wanauhakika wa kuendelea na kidato cha kwanza pia na ukaribu wa sehemu wanazoishi. Hii imeondoa adha ya ukatili wa kijinsia na kuwajengea weledi watoto. Hoja yangu ni Hii...
  15. Ifike wakati shule zote za Secondary ziwekewe uzio

    Hivi kwanza ni kwanini shule nyingi tena za serikali hazina uzio? Nyingine za wasichana na wanaishi hosteli, hivi kweli tangu uhuru mpaka sasa tumeshindwa tu kuweka uzio kwenye mashule yetu? Shule nyingine ziko katikati ya miji lakina hazina uzio. Kuna shule moja hapa Arusha wananchi...
  16. Serikali yaahirisha Shule kufunguliwa kwa Mafuriko

    Serikali imeahirisha kufunguliwa kwa Shule kwa Wiki moja kutokana na mafuriko yanayoendelea ambayo hadi sasa yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 80. Taarifa ya Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu imeeleza kutokana na athari za Mafuriko si sawa kuhatarisha maisha ya Wanafunzi na Wafanyakazi, hivyo...
  17. R

    Rafiki zangu Wadigo, pelekeni watoto shule, formal schooling, zipeni msisitizo kama mnavyo zipa msisitizo "chuo" madrasa

    Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa, akitaka aende shule za kawaida , asipotaka basi, lakini "chuo" atakwenda! Nikaacha fimbo zinatembea! Ni...
  18. Serikali ifunge shule kwa wiki moja, isisubiri maafa kwa Watoto

    Kwanini Serikali isizifunge shule katika kipindi hiki kigumu cha mvua? Badala yake inasubiri maafa yatokee kwa watoto ndio watafute mchawi wa kumnyooshea Vidole Mfano; Dar hali ni mbaya ya mvua achana na magari kukwama ila huku kwenye Vitongoji duni hali ni mbaya sana.
  19. Shule za Dar zifungwe kwa muda mpaka mvua zitakapokoma au kupungua

    Hali ya mvua jijini Dar si shwari kabisa, hii ni siku ya 5 sasa mvua zinanyesha nonstop. Kwa miundombinu ya hili jiji ilivyo mibovu ingekuwa busara shule zifungwe kwa muda, hasa shule za msingi, japo yale madarasa ya chini la kwanza mpaka la nne. Hivi ninavyoandika hapa mvua imenyesha usiku...
  20. TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Wakuu, salama huko ulipo? Wataalam wa hali ya hewa wakitoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha shule zifungwe kufuatia matangazo hayo, kama tangazo hili lililotolewa juzi. Wote tunajua ni hatari kipindi hiki, kwanini shule hazichukui iniative kuongeza usalama kwa watoto. Halafu cha kushangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…