At least Kwa shule za msingi tumejitahidi kidogo walahu kila kijiji kuna shule ila Kwa upande wa sekondari bado kuna changamoto kubwa naona wanafunzi wakitembea umbali mrefu kuzifuata shule ni heri serikali ikaja na mpango wa kujenga hostel Kwa shule za kata ambazo vijiji vyake viko mbali.
Shule ya sekondari BUJINGA iko Tukuyu mkoa wa Mbeya wazazi tumeambiwa tuanze kuchangia sh. 60000/= kwaajili ya kambi kidato cha nne..
Hii ililetwa kama agenda ktk kikao kilichoitishwa na walimu wito wa kuwaita wazazi Ili jambo hilo liridhiwe..
Ktk uhalisia imefanywa kama hiyari lkn ni kama...
Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri...
Kuna rafiki yangu alipata ajira ya ualimu shule ya sekondari ya private, tangu januari hajapokea mshahara huu ni mwezi wa tatu hajaona salary yake na he is doing just fine.
Shule binafsi mnachokifanya sio sahihi, mtu anakufanyia kazi ya kukupa matokeo kwa nn humlipi salary yake? ila akija...
Samahani kwa sisi Wakazi wa Dodoma sehemu moja wanaita Ipagala B shule ya msingi kuna adha ya kujaa maji hasa kwa kipindi hichi cha mvua.
Kuna kipindi maji yalijaa mengi sana yakaingia mpaka ndani na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, TARULA na mpaka zima moto kwa ajili ya kuchimba mtaro wa kuruhusu...
Mbunge Cherehani Akutana na Walimu Shule za Msingi Ushetu
Walimu wa shule za Msingi katika Halmashauri ya Ushetu Mkoani Shinyanga wametakiwa kuongeza ubunifu na jitihada katika ufundishaji ili kuongeza hali ya ufaulu wa wanafunzi kutoka daraja C hadi kufikia daraja A.
Wito huo umetolewa na...
yani sisi choka mbaya tuna sifa kama walivo matajiri na skafu za bendera kusomea watoto wao ambao hawapo ulaya ila wapo Tz.
Sisi choka mbaya mtaa wa kaza moyo mfano dar pale shule kama olympio,bunge,muhimbili na ilala ndio sifa kwa wakazi Mbagara, Manzese, Tandale, Buguruni, Kino na maeneo ili...
Ukweli ni lazima usemwe tu hata kama watu wengi hawataupenda. Shule ilikuwa imepoteza mwelekeo kabisa.Kila siku ilipokuwa inapita unatamani heri ya Jana.
Makundi baina ya walimu, morali ndogo kwa walimu wasio wanamtandao, kiwango kidogo cha nidhamu kwa wanafunzi yalikuwa baadhi ya mambo...
Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja.
Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi...
Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne.
Nashukuru sana kwa wana Jf...
Wakuu habari zenu,
Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million.
Asanteni sana wakuu
Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea!
Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa...
1. Kama mshahara wako unalipwa cash mkononi bila kupitia benki na vilevile hicho kiasi unaweza kuweka kwenye mfuko wa shati na ukaenea. Rudi shule.
2. Wale wote ambao mwezi December kazini kwao kulitangazwa kuwa ni likizo lakini watabaki wafanyakazi wachache kwa ajili ya dharura. Kama wewe ni...
Afisa mtendaji wa kata ya Malindi, iliyoko tarafa ya Mlalo, wilaya ya Lushoto - Tanga, amechukua maeneo makubwa ya shule ya sekondari Mtumbi na kuyakodisha kwa watu mbalimbali kwa manufaa binafsi. Maeneo mengine machache amewapa walimu wa shule hiyo ili wasimuulize juu ya eneo la shule...
Asee kuna hili jambo linanikera sana na lina Waharibia Wanafunzi future yao.
Nikiwa Mdau muhimu wa Elimu naumia sana kuona Waalimu wa kiume kukatisha ndoto za mabinti kwa kukuanzisha uhusiano nao na kisha kuwapa ujauzito na wengine ndoto zao kuisha kabisa.
Wapo Wanafunzi kadhaa walifaulu...
Anonymous
Thread
kike
lindi
maisha
sekondari
shule
walimu
wanafunzi
wanafunzi wa kike
Wakuu kwema?
Katika mambo ambayo wazazi huzingatia kuuliza yakoje shuleni, vyoo huwa havimo na kama kuna wazazi wanauliza basi ni 1%.
Katika sehemu zinazoongoza kwa uchafu katika mazingira ya shuleni vyoo ni namba moja ikifuatiwa na canteen. Jamani kuna baadhiya shule vyoo ni vichafu na...
Salaam zangu zikufikie mmiliki wa shule ya Sekondari ELLY'S ILIYOPO halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara.
Inafahamika wazi shule yako Ina wanafunzi wachache sana huku ikiwa na majengo mengi yasiyotumika. Majengo haya yasiyotumika imekuwa hifadhi kuu Kwa wanafunzi watukutu wa shule za...
MWANAMKE ambaye hajafahamika jina lake na anayedaiwa kuwa ana ulemavu wa akili, amejifungua mtoto mchanga kisha kumtupa kwenye eneo la shule ya msingi Msali "A" iliyopo kijiji cha Ngararambe kata ya Nyakahura wilayani Biharamulo mkoani Kagera, huku baba wa mtoto huyo akiwa hajulikani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.