Je, ni shule za Serikali?
Ama ni shule za watu binafsi?
Ama si Shule ya Serikali ama ya mtu binafsi yenye uwezo wa kumjenga mwanafunzi kifikra na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?
Kipindi fulani, nilifuatwa na kijana mmoja aliyekuwa akiishi jirani na nilikokuwa nikifanyia kazi, na kuniomba nimsadie kumtafutia nafasi ya kujifunza masuala ya ufundi kwenye kampuni fulani. Alikuwa bado kijana mdogo, under 18. Aliamua kutafuta hiyo nafasi baada ya kufeli mitihani ya kidato cha...
Baada ya kuripotiwa Shule ya Msingi ya Mlembea inayomilikiwa na Serikali katika Tarafa ya Mashati, Halmashauri ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kuandikisha Wanafunzi watatu pekee kwa ajili ya Mwaka wa Masomo 2024, uffanuzi umetolewa.
Awali imeelezwa kuwa baadhi ya sababu za na uhaba wa Wanafunzi ni...
Habari wakuu.
Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali angali bado mapema.
Naomba kujuzwa mifumo ya kihasibu inayotumika mashuleni hasa nursery and...
Wanajamvi habari zenu?
Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika.
Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo.
Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private...
Amini nakwambia, hapa duniani kuna watu ambao wanahitaji kitu kimoja tu. Nacho ni mtu wa kuwaambia " hakuna tatizo kabisa endapo utafanya hivyo " au " usiogope"
Miongoni mwa watu hao ni kundi la wazazi wanao struggle kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za kulipia za kiingereza.
Watoto...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko ameagiza watendaji wote wa Mitaa na Vitongoji wakishirikiana na maafisa elimu kuhakikisha wanatoka maofisini na badala yake wawatafute Wanafunzi wote wanaopaswa kuwa shule ili kuendelea na masomo.
Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kufanya ziara katika...
Habari wakuu,
Ningependa kujikita moja kwa moja kwenye mada. Hii ni kwa wazazi ambao huwapeleka watoto kwenye shule zinazofanya vizuri sana kwenye matokeo kuwa makini na uamuzi huo. Japo si shule zote ila wengi wao ndio walivyo.
Ni kweli watoto wanaosoma kwenye shule hizo hufanya vizuri...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku shule kuweka michango ya lazima ambayo inawanyima Watoto kwenda shule.
Pia Soma:
- Shule ya Msingi Tumaini ya Tabata Kimanga Wanafunzi wasiochangia Tsh. 800 wanatolewa Darasani
- Malalamiko yaendelea kuhusu malipo...
Habari zenu wadau
Habari Onana nasi NESSA PRINTING kwa huduma zifuatazo kwa habari ya mahitaji yako ya KUCHAPISHIWA (PRINTING): Calendar, Diaries, Tshirt(Embroiders. Computarize, Screen printing) Mugs, Stickers, Posters, Magazines, Annual Reports, Books (such as: Proforma invoice, Receipts...
Mlembea, ni moja ya Shule ya Serikali iliyopo Wilaya ya Rombo katika Tarafa ya Mashati Mkoani Kilimanjaro ambapo kwa Mwaka huu wa 2024 imeandikisha Wanafunzi watatu tu (3) kuingia darasa la kwanza kitu ambacho sio kawaida.
Shule hiyo ya Msingi Mlembea jumla ya idadi ya wanafunzi katika shule...
Wazazi na Walezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametakiwa kuwapeleka Watoto shule ili kuanza masomo kwa muhula wa kwanza ambao umeanza rasmi hii Januari 8, 2024.
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Dkt. Alex Mrema amesisitiza Watoto wote wenye umri wa kuwa...
Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya wilaya ya Mbinga. Shule hii inakadiriwa kuwa na wanafunzi 700+ na walimu wasiopungua 8 lakini...
Anonymous
Thread
hali
kitanda
mbaya
mbinga
msingi
sana
shuleshule ya msingi
Maadili hutoa maana au muundo dhahiri wa maisha ya mwanaadamu, Maadili ni kanuni fulani za msingi ambazo zinapaswa kushikiliwa katika maisha. Maisha ya kuishi bila maadili hatimaye mtu ataishia kuhisi kutoridhika, kuhisi mwenye hatia na huzuni.
Kama mtoto asipolelewa bila sheria ni haraka zaidi...
Chondechonde mkuu wa shule, kamati ya uongozi na bodi ya shule ya Sekondari Nyiendo tunawapigia magoti kwa huruma yenu mtusaidie kuhusu mambo yafuatayo.
1. Malipo ya mishahara yetu sasa tunaelekea ndani ya miezi minne hatujalipwa mishahara yetu.Sisi kama binadamu tuna wategemezi,tuna familia...
Wadau,
Moja kati ya kero yangu kubwa kwenye hizi english medium ni huu mfumo wa kulazimisha watoto wa Standard 4 na 7 kufanya remedial kwa lazima , hata pale ambapo hakuna ulazima huo. Najua shule zinafanya biashara lakini si kwa kuwapa watoto stress zisizo na lazima . Watoto mwaka mzima...
DNA muhimu Vijana.
Kama mwanaume unaanzaje kumuamini KE uliyekutananae ukubwani, Yani anakuambia mtoto ni wako na wewe ME unaamini, Ni mistake kubwa sana ME sisi tunafanya, Hutakiwi kumuamini mtu uliyekutanane ukubwani
Hata akiwa mkeo
Ni makosa makubwa ME tunafanya
Shule nyingi mpya za serikali zinazoanzishwa na zile za vijijini hazifundishi masomo ya biashara hususan Commerce, Bookkeeping na Economics? .
Mfano hivi karibuni serikali ilifungua shule mpya katika wilaya ya Mbinga kama vile BENAYA, NGUZO, KIPAPA, KILIMANI KATI, LAMATA, KAGUGU, N.K lakini...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amesema mwanafunzi akichelewa kuripoti shule atalimishwa matuta kumi, kauli hii ni amri kwa wakuu wakuu wa shule lakini tujiulize ni amri halali?
Kwanini mwanafunzi anachelewa shule? Ni mwanafunzi wa umri gani atalimishwa matuta kumi? Je hata wanafunzi wa private school...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.