shule

  1. Waufukweni

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nduweni wamshukuru Mbunge Prof. Mkenda kwa zawadi za fedha kwa waliofanya vizuri

    Wanafunzi wa Shule ya msingi Nduweni Kata ya Tarakea motamburu wilaya Rombo wamemshukuru Mbunge wa jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda ambae pia ni Waziri wa elimu sayansi na Teknojia nchini kwa zawadi za fedha kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2024 Akizungumza kwa niaba ya...
  2. B

    Wazazi waaswa kuzingatia kuwapeleka watoto wao shule zenye malezi bora

    Uongozi wa kituo maalum cha kulelea watoto cha Bero Kids (Bero Kids Day Care) kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mgeni rasmi na wahitimu wa mahafali ya pili. Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Fatuma Juma akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya kituo...
  3. Roving Journalist

    Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres anayetuhumiwa kulawiti Mwanafunzi yaahirishwa Mwezi mzima, Hakimu apata udhuru

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 11 imeshindwa kuendelea kutokana na Hakimu kupata hudhuru. Mara ya mwisho kesi...
  4. Forrest Gump

    Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
  5. M

    DOKEZO Michango imekuwa mingi Shule ya Msingi Njelela iliyopo Ludewa - Njombe, Mzazi ambaye hatatoa anakamatwa

    Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Njelela iliyopo Kata ya Mundindi, Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe wamekuwa wakilalamikia michango inayochangishwa shuleni hapo kuwa imekuwa ni kero kutokana na uongozi wa shule kutoa maelekezo kila mara. Mfano, Wanafunzi shuleni hapo wanatakiwa kulipa...
  6. Roving Journalist

    Uongozi wa UDSM watoa angalizo uwepo wa CHATU maeneo ya Shule ya Msingi Mlimani

  7. LIKUD

    Joseph Mrindoko wa wachokonozi azichana vibaya shule za English Medium

    Amezichana vibaya shule za English Mediums na kuwaita " mbumbumbu "Watanzania wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule hizo. Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You Tube. Moja kati ya nukuu yake anasema " Waafrika tunataka kuwa kama wazungu. Wazungu hawataki kuwa...
  8. The Watchman

    Rukwa: Wanafunzi waliofukuzwa shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA, warudishwa shuleni

    Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari...
  9. Roving Journalist

     Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

    Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali ichunguze vikundi vya dini vya wanafunzi shule za Advance

    Napata alarm hapa kuwa kuna vijana radical wanazalishwa mashuleni hasa advance. Hawa vijana wanazalishana wenyewe kwa wenyewe kwa hisani ya watu wazima ambao wako nje ya mfumo. Usipoziba ufa utajenga kuta. Miaka 30 iliyopita Nigeria ilikuwa shwari kabisa lakini sasa serikali ya Nigeria...
  11. Jumanne Mwita

    Ukiwa unachagua shule ya msingi kwa ajili ya Mtoto wako unazingatia vitu gani? Ukiachana na performance ya Taaluma?

    Changamoto inayowakumba wazazi wengi wanaotafuta elimu bora kwa watoto wao licha ya vipato vidogo. Ndugu wanajamii, mimi ni mzazi naomba msaada wenu kupata shule bora na yenye gharama nafuu kwa mtoto wangu mwenye umri wa miaka 7 anayetarajia kuingia darasa la 4 mwakani lakini ninampango wa...
  12. B

    Walimu wa kiswahili wa shule za sekondari kuna mahali mnafeli pakubwa

    Hivi mtoto wa fomfour miaka 17 hadi 20 inakuwaje hawezi kutofautisha Kati ya "r" na "l" "Karibu" mtoto anaandika " kalibu" 👉Kwenye matamshi ya lugha binafsi siwezi tupa lawama hii ni kutokana na athari za kimakabila/kilugha Lakini swala zima la maandishi imekuwa ni changamoto sana 👉Matumizi...
  13. Waufukweni

    Mtoto wa miaka 13 awafungulia kesi Wazazi wake kwa kumtelekeza Shule ya Bweni Afrika

    Mtoto wa miaka 13 amefungua kesi dhidi ya wazazi wake akiwatuhumu kwa ukatili baada ya kumpeleka nje ya nchi, kisha kumsajili katika shule ya bweni, na kumtelekeza huko. Kwa mujibu wa taarifa, mtoto huyo, ambaye hakutajwa kwa sababu za kisheria, aliwasiliana na Ubalozi Mdogo wa Uingereza na...
  14. Mjukuu wa kigogo

    Shule ya Sekonari ACT Bunda Girls inavyopoteza muelekeo wake

    Ni shule ya wasichana iliyo katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara.Inamilikiwa na kanisa la Anglican dayosisi ya Mara. Taaluma katika shule hii ni ya wastani sana ukilinganisha na hadhi yenyewe ya "u private". Kwa kifupi inazidiwa kiwango cha Taaluma na shule nyingi tu kata zilizo...
  15. Waufukweni

    LGE2024 Kagera: Mbunge Neema Lugangira apiga Kura Shule ya Sekondari Kahororo

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
  16. Roving Journalist

    Watu 6 kutoa ushahidi Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Mtuhumiwa Upande wa Jamhuri katika kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (11) umesema kuwa unatarajia kuwa na...
  17. Mjukuu wa kigogo

    Kanisa la Anglican Church of Tanzania(ACT) nina ushauri kuhusu Shule yenu ya Wasichana Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda

    Binafsi Mimi ni kati ya wadau wa elimu katika Taifa langu la Tanzania.Napenda kutumia wasaa huu kuushauri uongozi wa juu wa kanisa la Anglikana ngazi ya Taifa kuhusu Shule ya wasichana ya Bunda girls ambayo wao ni wamiliki wakuu. 1. Eneo la Taaluma Katika eneo hili Taaluma ya Shule bado...
  18. D

    DOKEZO TANROADS mkoa wa Arusha wekeni matuta pale shule ya msingi Kimandafu na njia ya ng'ombe au mnasubiri maafa makubwa yatokee

    Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni. Pale eneo la...
  19. itagata

    Serikali Ijenge shule za Michezo kila Mkoa

    Ndugu wana Jamiiforums Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki fainali za kombe la Mataifa ya Africa zitakazofanyika nchini Morocco. Ni hatua nzuri na ya kujivunia kuona soka la Tanzania linazidi kukua na kuonesha mwanga mwema wa mafanikio. Pia ni...
  20. Hismastersvoice

    Shule ya Meta Sekondari Mbeya ni mali ya serikali, serikali itueleze CCM waliipataje?

    Shule ya Meta Sekondari ambayo miaka kadhaa kabla ya Uhuru ilijulikana kwa jina la N. A. Middle School, ni moja ya shule za boding'i za wavulana tu na baada ya Uhuru ikajumuisha na wasichana wasiolala shuleni. Mji wa mbeya ulikuwa na shule za tatu kati(middle) tatu, yaani N.A. wavulana, Meta...
Back
Top Bottom