shule

  1. Roving Journalist

    Njombe: Prof. Mkenda azindua nyumba pacha ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkendaleo Oktoba 03, 2024 amezindua nyumba pacha ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde iliyopo katika Kata ya Lubonde Wayani Ludewa Mkoa wa Njombe. Akizungumza baada ya uzinduzi huo Waziri Mkenda amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  2. Nyanda Banka

    Tulienda shule kufanyaje kama hata hizi kazi za muda wanapewa watumishi wa serikali

    Je umuhimu wa Degree zetu upo wapi huku mtaani, tunasota na tunahangaika na mabahasha kutafuta ajira huku serikali ikiweka ahadi kede kede ambazo hazitekelezeki Haya hata hizi kazi mbalimbali za muda ambazo zingekuwa hata kifuta machozi kwetu Kwa kupunguza machungu ya kukaa mtaani bila ajira...
  3. Stephano Mgendanyi

    NW Katimba: Bilioni 6.7 Zimetumika Kuboresha Ujenzi wa Shule za Sekondari 10 Muheza (W), Tanga

    NW KATIMBA: BILIONI 6.7 ZIMETUMIKA KUBORESHA UJENZI WA SHULE ZA SEKONDARI 10 MUHEZA (W), TANGA Takribani shilingi Bilioni 6.7 zimetumika katika ujenzi wa shule za sekondari 10 katika Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais...
  4. M

    Msaada wa Course ya kusoma chuo

    Jamani Kuna mdogo wangu kapata degree ya Medical Doctor Kairuki na pia diploma in radiology Muhumbili. Anauliza yeye kama yeye achague wapi coz anahisi sasa MD haina deal tena kwa siku hizi.
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aloyce Kwezi Azindua Shule Iliyojengwa kwa Tsh. Milioni 398

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi amezindua Shule ya Usimba Sekondari iliyopo katika Wilaya ya Kaliua ambapo aliambatana na Diwani wa Kata ya Usimba Ndugu Masanja E. Msonde. Wakazi wa Kata ya Usimba walijitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Sekondari hii ambayo itawapa manufaa watoto...
  6. JanguKamaJangu

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kasirwa ya Rombo wanazurura tu mtaani kwa sasa

    Hii ni Shule ya Msingi Kasirwa ipo Rombo, kwa sasa asilimia kubwa ya Wanafunzi wanashinda nje ya Madarasa, wanazurura tu nje kwa kuwa madarasa yao yapo kwenye maboresho. Hivi tunajiuliza uongozi wa Shule, Wilaya na Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa wapi muda wote hadi madarasa yanakuwa katika hali...
  7. chrispny

    MAJINA YA KUITWA KWENYE SHULE YA MAFUNZO YA UPOLISI MOSHI YAMETOKA.

    Habari za zenu wakuu. Kwa vijana waliofanya usaili wa kujiunga na jeshi la polisi July 29 2024 hadi august 2024 majina yametoka jana. Naomba kuuliza kwa anayefahamu kunakuwaga na batch nyingine au yakishatoka mara moja ndio imeisha?
  8. M

    Wale Tulisoma Advanced kwenye Shule za Technical

    Mimi ni mmoja wapo wa tuliosoma advance kwenye hizi shule za ufundi yaani Technical Secondary School wakati Olevel nimetokea shule ambazo sio ya ufundi. Shule zile ni zuri sana kwa Olevel kwa sababu wana jifunza ufundi kwa vitendo, wana karakana na mitambo ambayo inawasaidia kupata ujuzi...
  9. Pascal Mayalla

    Helios Towers, kwa Ushirikiano na Camara, Yakabidhi Maabara ya Tehama Shule ya Sekondari ya Jamii ya Wafugaji ya Endevesi, Oljoro, Arusha.

    Kampuni ya Helios Towers, Yakabidhi Darasa la Maabara ya Tehama na Compyuta 26 kwa Shule ya Sekondari ya Endevesi, ambayo ni ya watoto wa wafugaji, Eneo la Oljoro Arusha. Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, kwa ushirikiano na taasisi ya...
  10. Nyarupala

    Shule nzuri kwaajili ya tuition pre-form one kati ya makambako au iringa

    Natumaini wote ni wazima na weekend inaenda sawa. Msaada tafadhali shule iwe ya bweni🙏
  11. Vichekesho

    DOKEZO UTAPELI: Afisa Elimu mkoa wa Morogoro anatapeli fedha kwenye shule zilizopo chini yake

    Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA. Mfumo huo ambao hautumii kikoa (domain) ya serikali ya Tanzania yaani .go.tz, unatumia domain ya .us ambayo si...
  12. D

    Uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali umebaini zipo tabia mbaya kwa baadhi ya walimu

    Nimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto! Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao wabadhamana ya kulea watoto wetu kielimu! Miongoni mwa mambo niliyobaini 1. Walimu hawafuati ratiba...
  13. M

    Kitanda, godoro na meza vinauzwa. Shule ya udsm imeshaisha hivyo ndio tunarudi kijijini kwetu

    Habari wadau. Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake. Kwa kitanda peke yake bei 130,000 Godoro bei 80,000 Meza bei 50,000 Namba ya simu 0754 003 715
  14. yello masai

    Shule nzuri za Serikali kwa mchepuo wa PCB

    Salaam wana jukwaa. Naomba kujua shule za A-Level (form 5 & 6) za serikali ambazo zinafanya vizuri katika combination ya PCB (Physics, Chemistry na Biology). Binafsi tayari nazijua Tabora Boys, Ilboru, Mzumbe na Kibaha. Naomba kutajiwa nyingine zaidi.
  15. Anna Deo

    Eneo la shule linauzwa Dodoma Eneo la Mtumba Mji wa serikali

    Eneo la shule linauzwa Dodoma , Mtumba Area karbu na mji wa Serikali. Ukubwa wa eneo: Sqm 33,000 Bei: Tsh 10,000 kwa Sqm Ni surveyed pot Fixed Price Interested njoo PM Au +254746360628 only whatsapp Ramani ipo kwenye attachment
  16. Genius Man

    Hivi kwa sasa unafanya kazi ya ulichokisomea au ulipoteza tu muda na pesa shule funguka

    Kijana huyu hapo chini kwenye picha ni mwanasheria lakini anafanya kazi ya kuuza genge baada ya kuona ajira hazieleweki. (eastafricaTv) Mdau hebu tuambie je Kwasasa unafanya kazi ya ulichokisomea?
  17. Kikwava

    WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  18. Godee jr

    Shule za Sekondari Same na Mwanga

    Wakuu habari. Wote tunafahamu changamoto ya kumtafutia mtoto shule nzuri ya Secondary. Kijana wangu anamaliza darasa la saba wiki hii. Naombeni recommendations za shule nzuri maeneo ya Same na Mwanga. Nimechagua maeneo hayo nikiamini kuwa hayana baridi sana. Shuke iwe ya mchanganyiko maana...
  19. BARD AI

    Moto waua Wanafunzi 16 wa Shule ya Hillside Endarasha, 14 wajeruhiwa

    Wanafunzi 16 wameripotiwa Kupoteza maisha baada ya ajali Moto kutokea katika moja ya Mabweni ya Shule ya Hillside Endarasha iliyopo Kieni, Nyeri usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024. Msemaji wa Huduma za Polisi Kenya, Resila Onyango amethibitisha tukio hilo na kueleza "Tuna wanafunzi 16 wamekufa...
  20. Career Mastery Hub

    Mfano wa mtihani wa ustadi (Aptitude Test) wa Walimu wa hesabu wa shule za Sekondari maswala ya usaili

    Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa kitakachoulizwa kwenye mtihani, ni muhimu kuelewa lengo la aptitude test na kujifunza jinsi ya kujiandaa...
Back
Top Bottom