shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
  2. Serikali yawaonya Walimu wanaoendelea na adhabu ya viboko shuleni

    Serikali imeendelea kuzuia matumizi ya viboko katika ufundishaji wanafunzi na badala yake walimu wametakiwa kutafuta mbinu mbadala za ufundishaji ili wanafunzi wawaelewe. Akizungumza leo Ijumaa Desemba 16, katika mkutano wa mradi wa kuboresha mafunzo kwa walimu katika vyuo vya ualimu (TESP)...
  3. Kiswahili kuchaguliwa kama Lugha ya Taifa ilikuwa kosa?

    Yaani hapa bongo bhana tuna vipaji vingi sana tena watu wa maana umewahi kufikiria kwanini hatuvumi sana kimataifa na dunia kiujumla. Hii ni kwasababu ya lungha tunayotumia kama Lungha ya taifa umewahi kufikiria labda ENGLISH ingekuwa ndo lugha yetu ya taifa yaani Kwanza tungekuwa na lafuzi...
  4. Geita: Serikali yashauri wazazi kutowanunulia simu watoto waliopo shuleni

    Serikali ya Mkoa wa Geita imewataka wazazi mkoani humo kuacha kuwanunulia simu, Watoto wao ambao bado wapo mashuleni ili kuwaepusha na mmomonyoko wa madili unaotokana na mitandao ya kijamii. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Geita, Tito Mlelwa amesema “Jamii hasa wazazi wanatakiwa kubeba mzigo huo kwa kuwa...
  5. Ni kisa gani ulijifunza/ kuaminishwa shuleni/chuoni na ukaja kufahamu badae kwamba sio kweli?

    Katika michakato yetu ya kitaaluma kuna vitu huwa tunafundishwa au kuaminishwa ila badae tukitoka katika viunga baada ya muda mwingi kupita tunakuja kugundua sio kweli au haviwezekani au ilikuwa ni "fiksi" tuu. Kwamba tunatumia Ajebra kila siku katika maisha yetu ilikuwa fiksi. Kwamba...
  6. Ni biashara gani naweza kufanya shuleni?

    Wakuu nafikiria ni biashara gani unaweza ifanya shuleni yaani ikawa inajulikana na wanafunzi na walimu wao Mfano sku hz wanafunz wanapewa uji shulen kuna mama mmoja nlimuona shule moja ya secondary akaomba oda ya kupeleka maandaz kwamba masufuria ya uji yakipangwa naye kaweka pemben sufuria la...
  7. Tanzania yatakiwa kuacha Upimaji Mimba wa lazima shuleni

    Kamati ya Wataalamu wa Umoja wa Afrika kuhusu Haki na Ustawi wa Mtoto (ACERWC) imeitaka Serikali kupitia upya sera zinazokandamiza haki ya wasichana kupata elimu ikiwa ni pamoja na kuzuia kufukuzwa shule kwa wasichana wajawazito na walioolewa. Pia, Serikali izuie kuwekwa kizuizini kinyume cha...
  8. S

    Nani aliondoa madisco shuleni?

    Ilikuwa ni ushamba wa hali ya juu usome form 1 hadi 4 halafu kusiwe na disco. Ukikaa kidogo utasikia Azania wamealikwa Zanaki. Je nani kaondoa madisco mashuleni.
  9. Wanafunzi 521 watoroka shuleni Simiyu, Serikali imetangaza mpango wa dharura

    Jumla ya wanafunzi 521 wa Shule mbalimbali Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wameripotiwa kukimbia masomo kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita hali ambayo imeilazimu Serikali kutangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na tatizo hilo. Ni katika kukabiliana na changamoto ya utoro shuleni, ambapo...
  10. Wanafunzi 521 watoroka shuleni Simiyu, Serikali imetangaza mpango wa dharura

    Jumla ya wanafunzi 521 wa Shule mbalimbali Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wameripotiwa kukimbia masomo kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita hali ambayo imeilazimu Serikali kutangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na tatizo hilo. Ni katika kukabiliana na changamoto ya utoro shuleni, ambapo...
  11. Tanzania imetia saini fomu ya kujiunga na muungano wa Chakula Shuleni

    Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) amesema utoaji wa chakula na lishe kwa wanafunzi wakiwa shule ni suala muhimu kwa kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya afya ya mwanafunzi na maendeleo yake kitaaluma. Mhe. Kipanga amesema hayo jijini Dodoma katika hafla ya...
  12. SoC02 Mazingira upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe

    Mazingira ya upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe Na wenu, Mtambo 1272019 Kwa miaka mingi, tumeshuhudia mtoto wa kike akiachwa nyuma katika suala la upataji wa elimu bora , jambo hili limechochea watoto wa kike kuwia ugumu kupata elimu bora bila vikwazo vingi. Pindi umuonapo...
  13. H

    SoC02 Ndoto yangu shuleni Sumbawanga

    Nikiwa Form Six Sumbawanga Sec, Ilikuwa ni siku ya Ijumaa,Siku ambayo tulikuwa tunawahi kutoka Darasani kwani ilikuwa ni siku special kwa ajili ya Michezo. Basi bwana me nkiwa na kibaiskeli changu nilichochukua kwa Dogo mmoja wa Olevel... chini nkiwa nmepiga Soksi na Sendo huku juu tisheti na...
  14. Kilimo na TEHAMA yewe masomo ya lazima shuleni

    Kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na kinachangia 80% ya pato la Taifa, ni vyema Serikali ikalifanya somo hilo kuwa la lazima ngazi zote za shule. Pia kwa upande wa TEHAMA tunaona jinsi ambavyo dunia inakimbia kwenda kwenye mapinduzi ya Kiteknolojia na ndio msingi wa maendeleo wa...
  15. T

    Ushawahi kutoka jasho shuleni

    Yaani, hamna kitu kilichokuwa kinatisha watu kama kukaa mbele ya darasa na huelewi yale anayofundisha mwalimu halafu anakuchagua kujibu swali na hauliwezi na ukigeuka kuna kiboko cha mpera😂😂 Utatamani kugeuza sakafu shimo utumbukie na hapo amekukazia kweli ila kengele inakuokoa ya mapumziko...
  16. SoC02 Mifumo ya Elimu ndiyo kikwazo vijana kushindwa kujiajiri

    MIFUMO YA ELIMU YETU TANZANIA HAITUANDAI KUJIAJIRI Elimu yetu ya Tanzania hasa ya darasani iliyo rasmi haijawa katika kuwaandaa vijana kujitegemea baada ya kumaliza elimu ,nitazungumza maeneo ya hiyo mifumo ya kielimu. 1)MITAALA ,mitaala ya kuendeshea elimu haipo kwa ajili ya kuandaa mhitimu...
  17. Z

    SoC02 Jamii inampokeaje mtoto wa kike aliyepata ujauzito akiwa shule?

    Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha. Serikali imewaruhusu watoto...
  18. E

    SoC02 Mfumo wa elimu nchini ujikite zaidi kufundisha UKIMWI shuleni

    MFUMO WA ELIMU NCHINI UJIKITE ZAIDI KUFUNDISHA UKIMWI SHULENI Na Edson Joel UGONJWA wa Ukimwi ni miongoni mwa magonjwa hatari na yanayosumbua dunia kwa muda mrefu Sana kutokana na kuhathiri kwa kiwango kikubwa maisha ya watu wengi hususani Vijana hivyo kupelekea wataalam wa afya duniani...
  19. A

    SoC02 Madarasa ya TEHAMA muhimu Shuleni

    Abeid Abubakar Namuuliza mtoto wangu anayesoma darasa la sita katika shule binafsi moja ya mchepuo wa Kiingereza kama wanafundishwa kompyuta. Jibu lake la hapana linaninyong’onyesha. Pengine ningeliamini kama angekuwa anasoma shule katika moja ya shule za umma, ambazo weng tunajua hali zake...
  20. Ulikuwa unatembea kilomita ngapi kwenda shuleni? Nilikuwa natembea hizi

    Leo nimepima umbali niliokuwa natembea kwenda shuleni sekondari kila siku. Kilomita tano! Kwenda na kurudi 10km. Mara nyingine nilikuwa napanda gari kwenye 2km. so kila siku kulikuwa na uhakika wa kutembea 6km. Nilikuwaga na pumzi sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…