Mamia ya Watoto Nchini Haiti wamehifadhiwa katika shule mbalimbali Jijini Port-au-Prince baada ya kutokea kwa machafuko ya mapigano ya wahalifu ndani ya mwezi huu Julai 2022.
Wengi wa watoto wanalala kwenye madarasa na asilimia kubwa ya Watoto hao wametengana na wazazi wao.
Vurugu hizo...
Kwa nchi yetu kupuuza elimu inayohusiana na mambo ya kilimo lilikuwa kosa kubwa sana lisilosameheka.
Mikoa yote ya Tanzania ukiondoa dar salam msingi wao mkuu wa uchumi na ajira ni kilimo Kwa miaka yote.
Ukanda wetu wa majirani zetu na mataifa mengine duniani wanakabiliwa na changamoto za...
Mume wa Irma Garcia, mwalimu ambaye ni mmoja wa walioualiwa katika shambulizi lililotokea shuleni na kuua pia Watoto 19, amefariki kwa shambulizi la moyo.
Memba mmoja wa familia amesema kuwa Joe Garcia aliumizwa sana na kifo cha mkewe, akawa ni mtu mwenye majonzi na hiyo inasadikika imechangia...
Inasikitisha sana matumizi ya silaha yanavotumika vibaya.
Kwa sasa huko Marekani msiba mzito kwao:
Hii ndio list:
Xavier Lopez, 10. He was a 4th grader at Robb Elementary
Uziyah Garcia, 10. He was in 4th grade.
Eva Mireles.
Nevaeh Bravo. She was in 4th grade
Irma Garcia
Amerie...
Habari wana JamiiForums...
Naomba maoni na ufafanuzi kwa wale wenye kufaham hili swala ada za shule. Namaanisha hivi mtoto anapokuwa shule mzazi analipa ada kwa awamu au installment sasa inapotokea mzazi amechelewa kulipa ada mara nyingi tunaona mtoto anarudishwa nyumban. Lakin kwa fikra zangu...
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.
Nayaleta haya kwa kuwa bila ya...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na idadi kubwa ya shule za msingi na zile za awali zikiongezeka, hiyo imeendana sambamba na ongezeko la ratiba ya masomo kwa wanafunzi.
Zamani ilizoeleka wanafunzi wanaotumia muda mwingi shuleni ni wale wanaosoma bweni, lakini hivi sasa hata wale wanaosoma ‘day’...
Baadhi ya walimu Nchini Kenya wanataka adhabu ya viboko kurudishwa shuleni, ili kuwaadhibu wanafunzi wasiokuwa na nidhamu.
Adhabu ya viboko ilipigwa marufuku katika shule za Kenya mwaka 2001 na sheria inawalinda watoto dhidi ya manyanyaso ya aina yoyote.
Lakini baadhi ya walimu wakuu wa shule...
Mwanafunzi amefariki kwa kupigwa risasi wakati polisi wakituliza vurugu za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Gulu nchini Uganda, zilizotokana na kuzuiwa kutazama mchezo wa Man City dhidi ya Man United, Jumapili Machi 6, 2022.
Mwanafunzi huyo ametajwa kuwa ni Gabriel Rwotomiya ambaye alikuwa...
Nimesoma uzi wa wanafunzi flani huko Singida wampata msala wa kukamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kuchoma moto pikipiki ya mwalimu na kufyeka shamba la mwalimu huyo baada ya kumpa adhabu mwanafunzi mmoja aliyekutwa na simu.
Mwanafunsi huyo ni wa sekondari, binafsi hata mimi siungi mkono...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye...
Msichana mmoja raia wa Kenya amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kufuatia moto katika bweni la shule na kuua wenzake tisa.
Msichana huyo mwenye umri wa miaka 18 alitenda kosa hilo mwaka wa 2017 akiwa na umri wa miaka 14 katika mwaka wake wa kwanza wa...
Salamu kwenu ndugu.
Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka.
Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi.
Hivi hasa ni...
kwakweli hili suala linafikirisha sana. Marekani high school alama F inaanzia 59 kushuka ambayo huku ni C ya kibabe sana. Huku F inaanzia 29, yaani mtu akipata 30 kafaulu. hata logic inakataa, mtu aliyepata chini ya nusu anakuwaje kapata!!? Nafikiri ubora wa wasomi wetu unaanzia hapa.
Sina nia ya kudanganya chochote ila kupitia kisa changu cha ukweli kilichonikuta mimi mwenyewe jaribu kuzijua nyendo na tabia za mwanao asije kuharibika ama kuharibiwa.
Nilianza elimu ya msingi miaka ya 80 katikati ila nilianza kwa kuchelewa kwani kijiji chetu na vijiji jirani havikuwa na...
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Alhaji Majdi Mwanga, ametishia kuwakamata na kuwafikisha mahakamani wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka shuleni watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza.
Mwanga alisema hayo mjini hapa katika mkutano wa hadhara na wananchi kuhusu...
Siku hiyo kulikua na wageni shuleni japo sikumbuki ni nani alikuja nikatumwa na mwalimu kupeleka mifuko ya kutunzia mahindi kwa mwalimu aliekua akiishi mbali kidogo na shule nikasingizia tumbo linauma lakini nikalazimishwa kupeleka nikajawa na hasira wakati naondoka nikawaza nifanyeje ili...
===
Waziri wa TAMISEMI, Mhe Ummy Mwalimu amekemea utozaji wa michango mbalimbali kwa Wanafunzi Shuleni sanjari na vitendo vya baadhi ya Walimu kuwazuia Wanafunzi kuingia Shuleni kwa kukosa sare na mahitaji mengine yanayohitajika Shuleni hapo.
Amesema vitendo hivyo havikubaliki na kwamba Walimu...
au huenda Yeye ( kama Mwanamke ) hiki siyo Kipaumbele chake na kwamba kila Mwanamke wa Kitanzania ailinde 'Rasilimali Tamu' yake Mwenyewe tu?
Niyaonayo kwa hili ni makubwa mno tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.