Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo
Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse.
Kushiriki mjadala huu bonyeza...
Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo
Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea?
Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali"
======
Waziri wa Elimu, Prof...
Shule za Kima secondary School na Suya secondary school za Arusha wanafunzi wote wametangaziwa kuwa mwakani wanatakiwa kulipa ada na hela ya mlinzi.
Ada ni elfu 20,000 kwa mwaka na mlinzi ni 4000 kwa mwaka, vipi shule nyingine hali ikoje wakuu? Wazazi wamepanic saaana
KESI ZA KUSADIKIKA SHULENI
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Kesi ya leo huko shuleni ndio imenifanya niandike uzi huu, yaani kesi zingine zinachekesha sana, nitaandika kama nazungumza mwenyewe huku natembea barabarani, wewe utachora mazingira ya Taikon nikiwa natembea pembezoni mwa barabara ya...
Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano kwa wiki kadhaa wakitaka mageuzi ya kisiasa.
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika...
Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus.
Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote za kujilinda kama vile kusimamia usafi mikono kwa wanafunzi, kudhibiti miosongamano na kuzuia...
"Kiukweli kitendo cha Serikali kufunga Shule kwa muda mrefu ili Kuzuia Maambukizi ya UVIKO-19 kwa Wanafunzi wetu ndiyo kimeleta balaa zaidi kwani Wazazi 124 wamebaka Wanafunzi wao wa Kuzaa, Watu wa Kawaida 120 wamebaka Wanafunzi na Waathirika wa UKIMWI 200 wamebaka Wanafunzi hivyo tumeamu...
Na John Walter-Hanang
Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara Mhandisi Samwel Hayuma amewataka wazazi na walezi kutimiza wajibu wao wa kuhakikisha wanafunzi wanakula chakula cha mchana shuleni .
Hayuma ametoa Kauli hiyo wakati wa mahafali ya 22 katika shule ya msingi Bassotughang iliyopo Kata...
Matukio mengi makubwa yaliyowahitukia, ama katika maisha ya mtu wa kawaida au katika maisha ya ziada ya mtu mwenye historia, yametukia katika muda usio muafaka wa maisha yake.
Kwa mfano, kanuni ya jumla ya sheria ya mvutano (Universal Law of Gravitation) ilizaliwa kwenye akili ya Isaac Newton...
Habari wandugu,
Wenzetu wazungu wanujuzi sana wa madini, wanafundishwa shuleni. Mzungu nu rahisi kutambua Ruby, dhahabu au almasi akiiona.
Lakini mbongo hata anafika form six hawezi tambua madini aina yoyote. Kama elimu inamuwezesha mtu kupambana na mazingira yake, na mazingira yetu yamejaa...
Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.
Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni...
Wakazi wa kata ya Mavanga iliyopo wiliya ya Ludewa mkoani Njombe wamewalalamikia walimu wakuu pamoja na Afisa elimu wa kata hiyo kwa kuwalazimisha kulipia fedha kwa mtoto atakayeshindwa kufika shuleni pamoja na kuwalipa walimu wa kujitolea.
Wakitoa malalamiko hayo mbele ya mbunge wa jimbo la...
Nina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa.
Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi wao waniogope.
Ninatumia njia ya kufanya mazoezi kupunguza hisia za mapenzi, sijisikii vibaya kuwa...
Uongo mbaya, shuleni mtu unaweza fika Form Six au chuo lakini kupambana na maisha mtaani mtu wa darasa la saba akakuacha mbali kabisa.
Kama elimu haimfundishi mtu kupambana na maisha yake ina faida gani? Haiingii akilini mtu asome hadi form six miaka 13/14au hadi chuo miaka 16/17 halafu...
Mimi ni mwalimu wa secondary najishughulisha na shughuli ndogo ndogo huku natafuta kazi. Katika mojawapo ya shule ninazoomba naambiwa kama kujitolea nafasi ipo. Sijawahi kujitolea tokea nimemaliza chuo(3years ago).
Naomba kufahamu kutoka kwenu wadau, kuna uwezekano wa kupata kazi husika kama...
Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage, amesema Wananchi wanamwona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki wakisafiri kwenye Mitumbwi wakati wa kwenda Shuleni kwasababu yeye ndiye aliyehamasisha Watoto kupelekwa Shule
Ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Elimu na TAMISEMI kupeleka fedha...
Mwalimu mkuu ndiye mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko au mwalimu mwingine ambaye atakasimishwa na mwalimu mkuu kwa uangalizi maalum.
Tukio la viboko kwa mwanafunzi sharti liwekewe kumbukumbu kwa kuandika jina la mwanafunzi, kosa alilofanya, idadi ya viboko na jina la mwalimu aliyetoa...
VITU 4 AMBAVYO HUFUNDISHWI SHULENI LAKINI NI MUHIMU MAISHANI MWAKO
Shuleni watu hufundishwa kufanikiwa tu ila hakuna somo la kumuelekeza mtu afanye nini anapokuwa katika nyakati ngumu sana
Kila mtu amekaririshwa kuwa soma sana,faulu utapata kazi nzuri kisha utakuwa na maisha mazuri
Hivyo kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.