Habari wana JamiiForums...
Naomba maoni na ufafanuzi kwa wale wenye kufaham hili swala ada za shule. Namaanisha hivi mtoto anapokuwa shule mzazi analipa ada kwa awamu au installment sasa inapotokea mzazi amechelewa kulipa ada mara nyingi tunaona mtoto anarudishwa nyumban. Lakin kwa fikra zangu...