shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Yaliyojiri Clubhouse katika mjadala wa wazazi na walimu kuhusu kuwapa wanafunzi kazi za shuleni wakati wa likizo

    Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse. Kushiriki mjadala huu bonyeza...
  2. Tunaposhangilia sheria ya kumrejesha binti aliyezaa shuleni, tusisahau kuuliza haki ya yule mtoto mchanga aliyezaliwa anayebaki nyumbani

    Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea? Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
  3. Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali" ====== Waziri wa Elimu, Prof...
  4. Ada shuleni zimerudi?

    Shule za Kima secondary School na Suya secondary school za Arusha wanafunzi wote wametangaziwa kuwa mwakani wanatakiwa kulipa ada na hela ya mlinzi. Ada ni elfu 20,000 kwa mwaka na mlinzi ni 4000 kwa mwaka, vipi shule nyingine hali ikoje wakuu? Wazazi wamepanic saaana
  5. Kesi za kusadikika shuleni

    KESI ZA KUSADIKIKA SHULENI Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kesi ya leo huko shuleni ndio imenifanya niandike uzi huu, yaani kesi zingine zinachekesha sana, nitaandika kama nazungumza mwenyewe huku natembea barabarani, wewe utachora mazingira ya Taikon nikiwa natembea pembezoni mwa barabara ya...
  6. Eswatini: Jeshi na Polisi wapelekwa shuleni kuzuia maandamano

    Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano kwa wiki kadhaa wakitaka mageuzi ya kisiasa. Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika...
  7. J

    #COVID19 Namna Walimu na Wanafunzi wanavyoweza kujiweka salama dhidi ya Covid-19 katika mazingira ya shuleni

    Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus. Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote za kujilinda kama vile kusimamia usafi mikono kwa wanafunzi, kudhibiti miosongamano na kuzuia...
  8. R

    Kwanini Biashara ya Watumwa ya Waarabu haiongelewi shuleni?

    Kule utakuta trans antlantic slave trade lakini hii ya watumwa kupekwa uarabuni huwa haifundishwi. Why?
  9. M

    #COVID19 Baada ya Rais Museveni kukataa Wanafunzi wasirudi Shuleni upesi kutokana na UVIKO-19 Waganda wamebuni Mbinu iliyomlazimu afungue Shule

    "Kiukweli kitendo cha Serikali kufunga Shule kwa muda mrefu ili Kuzuia Maambukizi ya UVIKO-19 kwa Wanafunzi wetu ndiyo kimeleta balaa zaidi kwani Wazazi 124 wamebaka Wanafunzi wao wa Kuzaa, Watu wa Kawaida 120 wamebaka Wanafunzi na Waathirika wa UKIMWI 200 wamebaka Wanafunzi hivyo tumeamu...
  10. J

    Mbunge wa Hanang Mhandisi Hayuma asisitiza wanafunzi kula Shuleni.

    Na John Walter-Hanang Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara Mhandisi Samwel Hayuma amewataka wazazi na walezi kutimiza wajibu wao wa kuhakikisha wanafunzi wanakula chakula cha mchana shuleni . Hayuma ametoa Kauli hiyo wakati wa mahafali ya 22 katika shule ya msingi Bassotughang iliyopo Kata...
  11. F

    Rais hapatikani kwa tukio la uchaguzi, anaandaliwa tangu shuleni

    Matukio mengi makubwa yaliyowahitukia, ama katika maisha ya mtu wa kawaida au katika maisha ya ziada ya mtu mwenye historia, yametukia katika muda usio muafaka wa maisha yake. Kwa mfano, kanuni ya jumla ya sheria ya mvutano (Universal Law of Gravitation) ilizaliwa kwenye akili ya Isaac Newton...
  12. Kwanini shuleni hakuna somo la madini na uchimbaji wake?

    Habari wandugu, Wenzetu wazungu wanujuzi sana wa madini, wanafundishwa shuleni. Mzungu nu rahisi kutambua Ruby, dhahabu au almasi akiiona. Lakini mbongo hata anafika form six hawezi tambua madini aina yoyote. Kama elimu inamuwezesha mtu kupambana na mazingira yake, na mazingira yetu yamejaa...
  13. Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

    Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile. Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni...
  14. Njombe: Wanafunzi watoro walipishwa Tsh. 5,000 kwa kila siku wasiyofika shuleni

    Wakazi wa kata ya Mavanga iliyopo wiliya ya Ludewa mkoani Njombe wamewalalamikia walimu wakuu pamoja na Afisa elimu wa kata hiyo kwa kuwalazimisha kulipia fedha kwa mtoto atakayeshindwa kufika shuleni pamoja na kuwalipa walimu wa kujitolea. Wakitoa malalamiko hayo mbele ya mbunge wa jimbo la...
  15. Msaada: Nahofia nitakuwa single milele

    Nina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa. Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi wao waniogope. Ninatumia njia ya kufanya mazoezi kupunguza hisia za mapenzi, sijisikii vibaya kuwa...
  16. Ni muhimu shuleni likafundishwa somo la fedha na biashara kama hali ilivyo huku kitaa

    Uongo mbaya, shuleni mtu unaweza fika Form Six au chuo lakini kupambana na maisha mtaani mtu wa darasa la saba akakuacha mbali kabisa. Kama elimu haimfundishi mtu kupambana na maisha yake ina faida gani? Haiingii akilini mtu asome hadi form six miaka 13/14au hadi chuo miaka 16/17 halafu...
  17. Uzoefu kwa wale waliowahi kujitolea katika ofisi uliyojitolea ulifanikiwa kuajiriwa moja kwa moja?

    Mimi ni mwalimu wa secondary najishughulisha na shughuli ndogo ndogo huku natafuta kazi. Katika mojawapo ya shule ninazoomba naambiwa kama kujitolea nafasi ipo. Sijawahi kujitolea tokea nimemaliza chuo(3years ago). Naomba kufahamu kutoka kwenu wadau, kuna uwezekano wa kupata kazi husika kama...
  18. Charles Mwijage: Wananchi wananiona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki kwenye Mitumbwi wakati wa kwenda Shuleni

    Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage, amesema Wananchi wanamwona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki wakisafiri kwenye Mitumbwi wakati wa kwenda Shuleni kwasababu yeye ndiye aliyehamasisha Watoto kupelekwa Shule Ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Elimu na TAMISEMI kupeleka fedha...
  19. J

    Unamfahamu aliye na mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko shuleni kwa mujibu wa Sheria?

    Mwalimu mkuu ndiye mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko au mwalimu mwingine ambaye atakasimishwa na mwalimu mkuu kwa uangalizi maalum. Tukio la viboko kwa mwanafunzi sharti liwekewe kumbukumbu kwa kuandika jina la mwanafunzi, kosa alilofanya, idadi ya viboko na jina la mwalimu aliyetoa...
  20. Mambo haya hutafunzwa shuleni katu........

    VITU 4 AMBAVYO HUFUNDISHWI SHULENI LAKINI NI MUHIMU MAISHANI MWAKO Shuleni watu hufundishwa kufanikiwa tu ila hakuna somo la kumuelekeza mtu afanye nini anapokuwa katika nyakati ngumu sana Kila mtu amekaririshwa kuwa soma sana,faulu utapata kazi nzuri kisha utakuwa na maisha mazuri Hivyo kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…