UNA MATATIZO AMBAYO YANAKUSUMBUA LAKINI HUJUI WAPI PA KUANZIA KUYATATUA?
JE, unafikiri ni nani wa kulaumiwa kwa changamoto na matatizo yote unayopitia? Ni mzazi, mlezi, Ndugu, Jamii au serikali yetu?
Na Je, unajua kuwa kusuluhisha tatizo lolote lile bila kujua chanzo chake, ni kama kushindana...