siasa uganda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Uganda Kwa kinachoendelea Uganda, Je vikosi vya ulinzi vinaanza kugeukana?

    Kwa jinsi Uganda mwenendo wa nchi yake na tabia za viongozi wa serikali kufanya ni mali ya familia. Naona vikosi vingi vya uganda vishaanza kugeukana Tuendelee kula mtori nyama zipo chini.Uganda inaweza kujirudia
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi

    Msanii na kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Boby Wine, apigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta n'kuvute na polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda. Hivi sasa kiongozi huyo amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu. Mwendesha ukarasa wa mtandao wa 'X' wa Boby Wine ametangaza...
Back
Top Bottom