Kwa kinachoendelea Uganda, Je vikosi vya ulinzi vinaanza kugeukana?

Kwa kinachoendelea Uganda, Je vikosi vya ulinzi vinaanza kugeukana?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Kwa jinsi Uganda mwenendo wa nchi yake na tabia za viongozi wa serikali kufanya ni mali ya familia.

Naona vikosi vingi vya uganda vishaanza kugeukana

Tuendelee kula mtori nyama zipo chini.Uganda inaweza kujirudia
 
Wacha wageukane, museveni kaifanya uganda ni mali yake pekee, mzee hataki kuachia ngazi tangu mwaka 1986 hadi leo yapata miaka 40 anang'ang'ania madaraka bila aibu, ni wakati sasa wa kuondolewa kwa nguvu kama hataki kuondoka madarakani kwa heshima
 
Back
Top Bottom