siasa za dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania MUNGU, SIASA ZA DUNIA NA MKAKATI WA MUDA MREFU: KWA NINI URUSI INAJENGA MAKANISA AFRIKA?

    Urusi inapojenga makanisa Afrika, inaleta dini tu, au pia inajenga ushawishi wa muda mrefu? Swali hili limeanza kupata uzito kutokana na kasi ambayo Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi (ROC) limepanua shughuli zake barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Desemba 2021, ROC ilianzisha...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Katika hali na siasa za sasa duniani, ni vema Tanzania ikawa na chombo chenye nguvu cha kudhibiti mfumuko holela wa bei za bidhaa ili kulinda walaji

    Ni kweli uchumi huria unakataza serikali kuingilia kati masuala ya bei za bidhaa, ili nguvu za soko, yaani demand and supply, ziwe kigezo cha bei. Lakini sasa, suala la nguvu ya soko linafanya kazi vizuri pale ambapo mazingira ya biashara yapo kawaida. Kwa sasa kuna factors ambazo zinaathiri...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Siasa za dunia hii; Tusaidiane kidogo hapa wapendwa

    Habari za wakati huu wapendwa! Binafsi nashangazwa sana na mambo yanayoendelea ulimwenguni. Tangu utotoni tumefundishwa na dini zetu kuhusu upendo na pia kuonywa juu ya siku za mwisho. Lakini kwa upande mwingine, inaonekana kama watu wenye nguvu, wanasiasa na mataifa makubwa hawaguswi kabisa na...
  4. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Afrika ni Tishio kwa Ustaarabu (civilization) – Je, huyu Mzungu ana sababu? Wingi Wetu ni baraka au laana kwa Dunia?

    Ilikuwa usiku mmoja wa wikiendi. Nilikuwa nimekaa sebuleni, kompyuta mpakato pangoni, nikiangalia documentary moja ya YouTube iliyokuwa inazungumzia mustakabali wa ustaarabu wa dunia. Sauti ya muongozaji ilikuwa tulivu, lakini ujumbe uliibua mshindo wa fikra ndani yangu. Video hiyo ilionyesha...
  5. Uchumi 360

    JamiiForums Tanzania Nilipotazama Documentary ya Kutisha Kuhusu Afrika, Nilianza Kujiuliza Maswali Mazito

    Usiku wa jana, nikiwa nimechoka baada ya siku ndefu, nilijikuta nikichagua video ya YouTube isiyotarajiwa. Ilikuwa ni documentary ya mazungumzo kati ya vijana wawili—moja wao akiwa kijana mwenye IQ ya zaidi ya 160, mwerevu sana. Maongezi yao yalihusu hatima ya ustaarabu wa dunia... na Afrika...
Back
Top Bottom