Leo sitaandika makala ndefu kama ilivyo kawaida yangu.
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusu mtazamo wao wa ni nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika siasa za vyama vingi.
Nashawishika kuanzisha makala hii kutokana na wito wa baba wa Taifa kuwa kazi ya kutetea maslahi ya Wanyonge wa nchi...
Demokrasia inatajwa kama mfumo wa utawala unaojengwa katika misingi ya uchaguzi huru na wa haki, utawala wa sheria na uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi.
Ukiitazama Marekani moja ya Taifa kubwa duniani, kumekuwa na mabadilishano ya uongozi licha ya kuwa na vyama vikuu viwili vinavyotambulika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.