Nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika zama za siasa za ushindani wa vyama vingi?

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
790
Reaction score
1,316
Leo sitaandika makala ndefu kama ilivyo kawaida yangu.

Natamani kupata maoni ya wadau kuhusu mtazamo wao wa ni nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika siasa za vyama vingi.

Nashawishika kuanzisha makala hii kutokana na wito wa baba wa Taifa kuwa kazi ya kutetea maslahi ya Wanyonge wa nchi hii ni kazi ya CCM.

Karibuni wadau kwa maoni
 
Sio kazi ya CCM kutetea wanyonge bali ni kazi ya chama kinachotawala kuhakikisha nchi haiwi na wanyonge au wanyonge wanapungua katika nchi.

Kazi ya kutetea wanyonge ni ya vyama vya wafanyakazi, wanaharakati, vyuo vikuu, wanasheria n.k Kazi ya chama kinachotawala ni kufanyia kazi yanayodaiwa na wananchi, CCM inafanya maigizo kujidai inatetea raia huku ikiwa na mamlaka.
 
Kuwa kada wa mbogamboga sasa hivi ni kuwa kama bodyguard wa chama. Hata kama hoja ya mpinzani ina mashiko kiasi gani, kazi yako ni kuiponda tu kwanza.
 
Leo sitaandika makala ndefu kama ilivyo kawaida yangu.

Natamani kupata maoni ya wadau kuhusu mtazamo wao wa ni nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika siasa za vyama vingi.

Nashawishika kuanzisha makala hii kutokana na wito wa baba wa Taifa kuwa kazi ya kutetea maslahi ya Wanyonge wa nchi hii ni kazi ya CCM.

Karibuni wadau kwa maoni
Sema kazi ya kuwatatua wanyonge ni ya CCM
 
Tlah tlah,lucas mwashambwa, na the team.
 
Attachments

  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 8
Leo sitaandika makala ndefu kama ilivyo kawaida yangu.

Natamani kupata maoni ya wadau kuhusu mtazamo wao wa ni nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika siasa za vyama vingi.

Nashawishika kuanzisha makala hii kutokana na wito wa baba wa Taifa kuwa kazi ya kutetea maslahi ya Wanyonge wa nchi hii ni kazi ya CCM.

Karibuni wadau kwa maoni
Chama kuwa madarakani hakukuondolei wajibu wake wa kuendelea kutafiti kero, fursa na matamanio ya wananchi; kuchakata ukubwa, mahitaji na rasilimali zinazohitajika kufikia malengo hayo, kupanga njia, muda na mahali pa utekelezaji; pamoja na kutathmini na kufuatilia maendeleo ya utekelezaji.

Kwa msingi huo, pamoja na uwepo wa asasi za kiraia na vyama vya wafanyakazi, vyama vya siasa, haswa chama tawala kinabaki kuwa mdau muhimu wa kuzitambua na kuzishughulikia kero za wananchi. Kumbuka umfano uliowekwa na Mzee Kinana akiwa katibu mkuu wa CCM.

Mwalimu Nyerere alihitimisha kwa kusema, "Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba"
 
Kuwa kada wa mbogamboga sasa hivi ni kuwa kama bodyguard wa chama. Hata kama hoja ya mpinzani ina mashiko kiasi gani, kazi yako ni kuiponda tu kwanza.
Kwa wanaofanya hivyo wanakosea, muungwana anayafanyia kazi maoni ya wapinzani wake.

Chukua mfano wa "Elimu Bure" Kwa mara ya kwanza hii sera aliisema Dr. Slaa kwenye kampeni yake ya urais 2010, lakini CCM waliifanyia tathmini, 2015 wakaiweka kwenye ilani yao. Kadhalika swala la katiba mpya, pamoja na kuwa ilikuwa ni hoja ya upinzani kwa miaka mingi, 2025 CCM waliliweka kwenye ilani ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom